Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Kikwete kuongoza hadi rais mteule atakapoapishwa’

Serikali imesema Rais Jakaya Kikwete na baraza lake la mawaziri wataendelea kufanya kazi hadi rais mteule atakayeshinda katika Uchaguzi Mkuu atakapoapishwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Baraza la mawaziri lasema litaongoza Burundi hadi rais atakapoapishwa

Baraza la Mawaziri nchini Burundi limesema kuwa linaongoza nchi hadi rais mpya atakapoapishwa.

 

5 years ago

Michuzi

SAMIA KUONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE WA BURUNDI


 Waziri wa mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi Nchini Tanzania kufuatia kifo cha Rais wa Burundi Mhe. Pirre Nkurunziza aliyefariki Juni 09,2020.. Kulia kwake aliyesimama ni Balozi wa Tanzania nchini Burundi Balozi Gervais Abayeho. Waziri wa mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akisalimiana na Balozi wa Burundi Nchini Tanzania Mhe. Gervais Abayeho Picha ya Rais wa...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANANIA,JOHN POMBE MAGUFULI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISalamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli zimeanza kumiminika nchini, za kwanza zikiwa zimetumwa na Rais  wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Saharawi Mheshimiwa Mohammed Abdelaziz.
     Katika salamu zake kwa Rais Mteule Magufuli, Rais wa Rwanda Mheshimiwa Kagame amesema: “Kufuatia...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AMPONGEZA RAIS MTEULE DKT JOHN POMBE MAGUFULI, MAMA ANNA MGHWIRA WA ACT WAZALENZO ATUMA SALAMU ZA PONGEZI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii Oktoba 29, 2015. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila pembe ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ampongeza Rais Mteule Dkt. John Pombe Magufuli, Mama Anna Mghwira wa ACT Wazalendo atuma salamu za pongezi

j1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jana jioni Oktoba 29, 2015.

j4

j6

j7

j2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila...

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Kwa Kikwete, Magufuli ni kama rais mteule

Picha anayoichora Rais Jakaya Kikwete kupitia hotuba zake katika hafla na matukio tofauti kipindi hiki inazua maswali mengi.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuchapa kazi ndani ya ndege yake akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea mjini Dodoma ambapo ataongoza kikao cha baraza la Mawaziri(Picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili Arusha kuongoza maadhimisho ya Siku ya Albino

Mwenyekiti wa Chama Cha Albino Tanzania Bwana Ernest Kimaya akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) muda mfupi baada ya kuwasili jana  jioni.Rais Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kimataifa wa Albino itakayofanyika leo katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid. Kushoto ni Bwana Godson Mollel mwenyekiti wa Chama cha Albino Mkoa wa Arusha. Picha na Freddy Maro

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuchapa kazi ndani ya ndege yake akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea mjini Dodoma ambapo aliongoza kikao cha baraza la Mawaziri.(Picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani