Rais Kikwete awasili Arusha kuongoza maadhimisho ya Siku ya Albino
Mwenyekiti wa Chama Cha Albino Tanzania Bwana Ernest Kimaya akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) muda mfupi baada ya kuwasili jana jioni.Rais Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kimataifa wa Albino itakayofanyika leo katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid. Kushoto ni Bwana Godson Mollel mwenyekiti wa Chama cha Albino Mkoa wa Arusha. Picha na Freddy Maro
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRAIS JAKAYA KIKWETE KUWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA ALBINO ARUSHA
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo,Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Felix Ntibenda alisema wamepata fursa ya kuwa wenyeji kutokana na kutokua na matukio ya ukatili wa watu wenye ulemavu wa ngozi kutokana na takwimu za mkoa wapo Albino 199.
“Mkoa una jumla ya watu wenye...
11 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CCM,RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI JIJINI MBEYA JIONI YA LEO TAYARI KWA KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM KESHO.
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU WENYE ALBINISM DUNIANI LEO JIJINI ARUSHA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na baadhi ya watoto wenye albinism mara baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Sheikh amri Abeid mjini Arusha leo ambapo aliongoza maadhimisho ya siku ya watu wenye Albinism Duniani leo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na baadhi ya watoto wenye albism katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya watu wenye albinism Duniani leo. Picha na Freddy Maro
11 years ago
GPLRAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU WA TANGANYIKA
10 years ago
MichuziRais Kikwete awasili mjini Dodoma tayari kwa kuongoza Vikao vya CCM
11 years ago
Michuzi14 Jun
MAMA SALMA KIKWETE AWASILI KIGOMA AKIWA MGENI RASMI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU SALAMA KITAIFA.
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AWASILI DODOMA MCHANA HUU TAYARI KWA KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAADILI NA USALAMA YA CHAMA
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa...
11 years ago
CloudsFM26 Jul
RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA SIKU YA JANA
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika jana katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...