Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MARCOS ROJO RASMI MAN UTD, APEWA JEZI NAMBA 5

KLABU ya Manchester United imekamilisha usajili wa beki wa Sporting Lisbon, Marcos Rojo aliyesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea klabu hiyo. Marcos Rojo akiwa na jezi yake namba 5. Marcos Rojo ametua klabuni hapo kwa ada ya pauni milioni 16 baada ya makubaliano na timu yake ya zamani ya Sporting Lisbon iliyomchukua kiungo wa Man United Luis Nani kwa mkopo.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Kapombe rasmi Azam, apewa jezi namba 33

Shomari Kapombe. Hans Mloli na Musa Mateja
KIUNGO kiraka Shomari Kapombe, sasa mambo safi na amekamilisha kila kitu kurejea kucheza soka nchini na tayari amemalizana na klabu ya Azam FC na amekabidhiwa jezi yake kabisa. Imefahamika kuwa Kapombe amekubali kujiunga na Azam kutokana na kutokuwa katika maelewano mazuri na AS Cannes aliyojiunga nayo akitokea Simba, mwaka jana. Habari za uhakika, asilimia mia, Kapombe ameishavunja...

 

10 years ago

Mwananchi

Marcos Rojo apata rasmi kibali

Beki Marcos Rojo ataichezea Manchester United kwa mara ya kwanza katika mechi ya Ligi Kuu England 

 

10 years ago

GPL

ZITTO RASMI ACT, APEWA KADI NAMBA 007194, KUONGEA NA WANAHABARI LEO

Zitto Kabwe akikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa ACT. HAYAWI hayawi…Sasa yamekuwa licha ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya jana Jumamosi ya Machi 21, kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake yenye namba 007194.
Zitto akionyesha kadi yake...

 

10 years ago

GPL

MAN U YATAMBULISHA RASMI JEZI ZAKE  MPYA

Klabu ya Manchester United imekuwa miongoni mwa klabu ambazo zimetambulisha jei zao leo zitakazotumiwa kwa ajili ya msimu ujao. Klabu hiyo imevunja rekodi kwa kuwa ni klabu inayoingiza kipato kikubwa cha pesa duniani kutokana na utengezaji wa jezi . Baada ya miaka 13 ya matumizi ya jezi za Nike, Manchester United sasa imeamua kuzindua jezi mpya zitakazotumika katika msimu wa 2015/2016. Man United watatumia jezi zitakazokuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Bocco apewa jezi kuiua Malawi

Ikiwa imetanguliza mguu mmoja ili kusonga mbele kwenye mechi za kufuzu kushiriki Kombe la Dunia 2018 nchini Russia, timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo itajitupa kwenye Uwanja wa Kamuzu Banda kupambana na wenyeji Malawi. Mchezo huo wa marudiano unaoanza saa 8.00 mchana za hapa (sawa na saa 9.00 za Afrika Mashariki) unatarajiwa mgumu na wa kusisimua.

 

10 years ago

Africanjam.Com

FAHAMU KIUNDANI REKODI YA JEZI NAMBA 10 DUNIANI

Ukifatilia vizuri washindi wa Ballon d’Or tuzo ya mchezaji bora wa dunia Michael Owen, Ronaldinho Gaucho na Ricaldo Kaka wote walikua wakivaa jezi namba 10.Moja ya kukua kwa umaarufu wa jezi no. 10 ni kuwahi kuvaliwa na wachezaji bora wa muda wote Ulimwenguni, Pele pamoja na Diego Armando Maradona. Pia wachezaji wanaowika sasa Lionel Messi, Neymar na Wayne Rooney wote wanavaa jezi namba 10.

Hilo limechangia kwa kiasi kikubwa jezi hii kuwa na mvuto wa aina yake na kupendwa na mastaa wengi wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Beckham amtaka Depay asiogope jezi namba 7

960MANCHESTER, ENGLAND

NYOTA wa zamani wa klabu ya Manchester United, David Beckham, amemtaka mshambuliaji mpya wa klabu hiyo, Memphis Depay, kuivaa jezi namba saba bila wasiwasi.

Beckham amemwambia kwamba hiyo ni jezi kama zilivyo jezi nyingine, lakini anatakiwa kuitendea haki kama ilivyo kwa wachezaji wengi waliopita ambao walivaa namba hiyo kama vile Beckham, George Best, Eric Cantona, Cristiano Ronaldo, Di Maria na wengine.

Beckham aliwahi kuivaa namba hiyo wakati anaitumikia klabu hiyo...

 

10 years ago

GPL

ROJO ATUA MAN UNITED KUKAMILISHA USAJILI

Marcos Rojo (mwenye T-shirt) akiwa na wafanyakazi wa Man Utd katika hospitali ya Bridgewater ametua kukamilisha usajili siku ya leo kuchukuliwa vipimo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani