ZITTO RASMI ACT, APEWA KADI NAMBA 007194, KUONGEA NA WANAHABARI LEO
![](http://api.ning.com:80/files/-TLmRyEsKECMZtCwOQaKIsDHIAPwccDbNaRzqx3SptmPrk9MaLH5TArWaCCAg0yCdefRojG3Vlge0AIMIQlxzU0sJpFsH9nk/zitto.jpg)
Zitto Kabwe akikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa ACT. HAYAWI hayawi…Sasa yamekuwa licha ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya jana Jumamosi ya Machi 21, kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake yenye namba 007194. Zitto akionyesha kadi yake...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Mar
EXCLUSIVE: Zitto ajiunga rasmi na Chama cha ACT-Tanzania, akabidhiwa kadi namba 007194
Mh. Zitto Kabwe akilipa kwa ajili ya usajili wa kadi ya uanachama wa ACT.
...Kumwaga ‘mboga’ mbele ya wandishi wa Habari Jumapili hii Machi 22
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Hayawi hayawi…Sasa yamekuwa licha ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya leo Jumamosi ya Machi 21, kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4TYrvltUmOUgK4dzuBEoNi3vrOvmYM5-4xVlG8k9Lc36*SilZsMf*4g7mV47PxX3F78QLjAcytKmi3ciEyrTcMDt/kapombe.jpg?width=650)
Kapombe rasmi Azam, apewa jezi namba 33
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdZi0y21lV4tpyoVxvINGGzaiFW1JI5O4jEXgCdayqCJ-mWmrx4RUD6phKKAl9DiIIwtuxcq0ZSowF86PfsAe2TP/rojo.jpg?width=650)
MARCOS ROJO RASMI MAN UTD, APEWA JEZI NAMBA 5
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-20a6khW5K4c/VQ6AZSx0GiI/AAAAAAAHMFM/VNSdcJt2L9Y/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
Mhe zitto kabwe aongea na wanahabari jijini Dar es salaam leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-20a6khW5K4c/VQ6AZSx0GiI/AAAAAAAHMFM/VNSdcJt2L9Y/s1600/unnamed%2B(32).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-MKV_9niom3I/VQ5aHzO5NaI/AAAAAAAHMCQ/Hw4GbgvgZxE/s72-c/IMG_30213473536467.jpeg)
Hayawi hayawi… Sasa yamekuwa.... Zitto Kabwe ajiunga rasmi na chama cha ACT
![](http://1.bp.blogspot.com/-MKV_9niom3I/VQ5aHzO5NaI/AAAAAAAHMCQ/Hw4GbgvgZxE/s1600/IMG_30213473536467.jpeg)
Licha ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe (pichani juu akisaini kitabu baada ya kupewa kadi) sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya jana Jumamosi ya Machi 21, kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake yenye namba 007194.
Hili limetokea siku moja tu baada ya Zitto kutangaza kuachia ubunge na kuandika barua rasmi ambapo sasa amekuwa mwanachama wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1ygck9z1r4DrTzJTKql6GlABf3MyyN2NKh6Mf8605jFiqxKFaA4BHtN2fwzwuou-lkJ9bEF8NPQu6ssOm08PAgOS8fPEGSaj/01.jpg?width=650)
NAMBA MAALUMU YA KUTOA TAARIFA ZINAZOHUSU JINSI YA KUJIKINGA NA MALARIA NA TIBA YATANGAZWA RASMI UWANJA WA TAIFA LEO
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Neymar apewa kadi nyekundu baada ya mechi
10 years ago
BBCSwahili25 Jan
Ronaldo apewa kadi nyekundu kwa kupigana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NzDUNNjpKqY/VbeGAw9myPI/AAAAAAAHsPs/9QD2Sc7U3w8/s72-c/MMGL0364.jpg)
LOWASSA AJIUNGA RASMI NA UKAWA,AKABIDHIWA KADI RASMI YA UANACHAMA CHADEMA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-NzDUNNjpKqY/VbeGAw9myPI/AAAAAAAHsPs/9QD2Sc7U3w8/s640/MMGL0364.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-HGeeL3rFur8/VbeGAAXFM8I/AAAAAAAHsPo/64cudQzmg4Q/s640/MMGL0367.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bt3gbl_fezs/VbeGCDcfo-I/AAAAAAAHsQA/fXpkbv2ToMo/s640/MMGL0450.jpg)