Neymar apewa kadi nyekundu baada ya mechi
Nyota wa timu ya Brazil Neymar alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kipenga cha mwisho cha mechi ya kinyang'anyiro cha Copa America baada ya timu yake kufungwa na Colombia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 Jan
Ronaldo apewa kadi nyekundu kwa kupigana
Mchezaji nyota wa Real Madrid alipewa kadi nyekundi katika mechi dhidi Cordoba baada ya kumpiga mchezaji Edimar.
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
Gervinho aomba msamaha kwa kadi nyekundu
Mchezaji wa Ivory Coast Gervinho ameomba msamaha baada ya kupewa kadi nyekundu kwa kumpiga mlinzi wa timu ya Guinea Naby Keita
10 years ago
BBCSwahili20 Jun
Neymar apigwa marufuku ya mechi nne
Mshambuliaji wa Brazil Neymar atakosa michuano yote ya kombe la Copa America baada ya kupigwa marufuku ya mechi nne.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TLmRyEsKECMZtCwOQaKIsDHIAPwccDbNaRzqx3SptmPrk9MaLH5TArWaCCAg0yCdefRojG3Vlge0AIMIQlxzU0sJpFsH9nk/zitto.jpg)
ZITTO RASMI ACT, APEWA KADI NAMBA 007194, KUONGEA NA WANAHABARI LEO
Zitto Kabwe akikabidhiwa rasmi kadi ya uanachama wa ACT. HAYAWI hayawi…Sasa yamekuwa licha ya kusemwa sana kwa muda mrefu juu ya kuhusishwa na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa yamekuwa kweli kwa Mbunge huyo baada ya jana Jumamosi ya Machi 21, kupokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake yenye namba 007194.
Zitto akionyesha kadi yake...
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Phiri apewa mechi mbili
WAKATI Benchi la Ufundi la klabu ya Simba likipewa mechi mbili kubadilisha matokeo ya timu hiyo, wachezaji ambao wamesimamishwa kwa tuhuma za kuhujumu timu na ukosefu wa nidhamu, wanatarajia kukutana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMN4fi0k3VOsXqxNhESRB9JqEykxgihkykacbQ-dqeknQUqzbotgJ4z00XYQnsksyhCz2xRZHk3s6VBtmyvLVBuC/phili.jpg)
Phiri apewa mechi mbili Simba SC
Kocha mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri. Goodluck Ngai na Wilbert Molandi
UONGOZI wa Klabu ya Simba chini ya kamati ya utendaji, umelipa benchi la ufundi la kikosi chao mechi mbili za kubadili mwenendo wa matokeo ya timu na kuhakikisha timu inapata ushindi na kucheza mpira unaovutia. Tangu kuanza kwa Ligi Kuu Bara msimu huu, Simba imekuwa ikipata matokeo yasiyovutia huku ikicheza michezo mitano na kuambulia pointi tano...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yC7AOXGJlPXF6wGPmSENxAI3VZ5Fop-euvElPS6L1mSu8ZxStNMUohBWjSaX-eq9SvGiL5ZyLu2NqsuPZX7g0ySSvDn4v6a6/phili.jpg)
Phiri apewa mechi tano Simba
Kocha mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri. Na Nicodemus Jonas
ALIYEWAHI kuwa Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba, Joseph Itang’are ‘Mzee Kinesi’, ameibuka na kuwataka wanachama na mashabiki kutokata tamaa kuhusu mwenendo wa kikosi chao, huku akitoa mechi tano ndipo waanze kujadili ubora wa kikosi chao. Simba imeanza ligi kwa kusuasua huku ikiwa haijashinda mechi yoyote, zaidi ya kuambulia sare katika michezo...
9 years ago
BBCSwahili26 Sep
Gabriel apewa marufuku ya mechi moja
Beki wa Arsenal Gabriel Paulista amepewa marufuku ya mechi moja na kupigwa faini ya pauni 10,000 baada ya kukiri shtaka la shirikisho la soka nchini Uingereza FA la utovu wa nidhamu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania