Neymar apigwa marufuku ya mechi nne
Mshambuliaji wa Brazil Neymar atakosa michuano yote ya kombe la Copa America baada ya kupigwa marufuku ya mechi nne.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Costa apigwa marufuku ya mechi tatu
Mchezaji wa Chelsea Diego Costa amepigwa marufuku ya mechi tatu kwa kumkanyaga makusudi mchezaji wa Liverpool Emre Can.
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Neymar apiga nne, Ronaldo ampiku Raul
Real Madrid na Barcelona zimeng’ang’ania kileleni mwa La Liga wakati Cristiano Ronaldo akiweka rekodi Real ikishinda 3-0 dhidi ya Levante, huku Neymar akifunga bao manne wakati Barca ikichapa Rayo Vallecano 5-2.
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Pardew apigwa marufuku na FA
Ya kutoshiriki katika mechi saba baada ya kupatikana na hatia ya kumpiga kwa kichwa mchezaji wa Hull City
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Neymar apewa kadi nyekundu baada ya mechi
Nyota wa timu ya Brazil Neymar alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kipenga cha mwisho cha mechi ya kinyang'anyiro cha Copa America baada ya timu yake kufungwa na Colombia
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Mlinzi wa Liverpool apigwa marufuku
Mlinzi wa Liverpool Martin Skrtel atahudumia marufuku ya mechi tatu baada ya shirikisho la soka nchini Uingereza FA kumpata na hatia.
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Juma Said apigwa marufuku ya miaka 2
Nahodha wa Mbeya City, Juma Said amepigwa marufuku ya miaka miwili kwa 'tendo la dhuluma' dhidi ya mpinzani wake uwanjani
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Rita Jeptoo apigwa marufuku ya miaka 2
Mshindi wa mbio za Boston na Chicago Marathon katika kipindi cha miaka miwili iliopita mkenya Rita Jeptoo amepigwa marufuku
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Kocha apigwa marufuku na Caf kwa kutusi refa
Kocha wa Guinea-Bissau Paulo Torres amepigwa marufuku kwa mechi zilizosalia zaza Kombe la Taifa Bingwa Afrika 2017 kwa kumtusi refa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania