Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha apigwa marufuku na Caf kwa kutusi refa

Kocha wa Guinea-Bissau Paulo Torres amepigwa marufuku kwa mechi zilizosalia zaza Kombe la Taifa Bingwa Afrika 2017 kwa kumtusi refa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

CAF yampiga marufuku refa aliyezua utata

Refa aliyesimamia mechi ya robo fainali kati ya Tunisia na Equitorial Guinea amepigwa marufuku ya miezi sita .

 

10 years ago

BBCSwahili

Apigwa faini kwa kumdhalilisha refa

Afisa asimesimamishwa kazi kwa mda wa miezi minne baada ya kumdhalilisha refa wa kike nchini Uingereza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marufuku kwa Naibu Kocha wa Chelsea

Naibu wa kocha wa Chelsea,amepigwa marufuku ya uwajani kwa jumla ya mechi sita

 

11 years ago

BBCSwahili

Pardew apigwa marufuku na FA

Ya kutoshiriki katika mechi saba baada ya kupatikana na hatia ya kumpiga kwa kichwa mchezaji wa Hull City

 

9 years ago

BBCSwahili

Juma Said apigwa marufuku ya miaka 2

Nahodha wa Mbeya City, Juma Said amepigwa marufuku ya miaka miwili kwa 'tendo la dhuluma' dhidi ya mpinzani wake uwanjani

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlinzi wa Liverpool apigwa marufuku

Mlinzi wa Liverpool Martin Skrtel atahudumia marufuku ya mechi tatu baada ya shirikisho la soka nchini Uingereza FA kumpata na hatia.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Phiri apigwa butwaa

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema soka la Tanzania limejaa siasa hivyo amewaachia viongozi wa timu hiyo kuamua ni mchezaji gani wa kigeni anafaa kuachwa baada ya kusajiliwa mshambuliaji Emmanuel Okwi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Neymar apigwa marufuku ya mechi nne

Mshambuliaji wa Brazil Neymar atakosa michuano yote ya kombe la Copa America baada ya kupigwa marufuku ya mechi nne.

 

10 years ago

BBCSwahili

Costa apigwa marufuku ya mechi tatu

Mchezaji wa Chelsea Diego Costa amepigwa marufuku ya mechi tatu kwa kumkanyaga makusudi mchezaji wa Liverpool Emre Can.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani