Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marufuku kwa Naibu Kocha wa Chelsea

Naibu wa kocha wa Chelsea,amepigwa marufuku ya uwajani kwa jumla ya mechi sita

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kocha apigwa marufuku na Caf kwa kutusi refa

Kocha wa Guinea-Bissau Paulo Torres amepigwa marufuku kwa mechi zilizosalia zaza Kombe la Taifa Bingwa Afrika 2017 kwa kumtusi refa.

 

9 years ago

MillardAyo

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Kocha wa mpya wa muda wa klabu ya Chelsea  Guus Hiddink ambaye amejiunga kwa mara ya pili kuifundisha klabu hiyo, baada ya miaka sita toka aondoke mwishoni mwa mwaka 2009 kama kocha wa muda wa klabu hiyo,  Guus Hiddink ambaye ndio ameichukua Chelsea mikononi mwa Jose Mourinho ili aiokoe isiporomoke zaidi, ameanza kwa kuwatuliza mashabiki […]

The post Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake … appeared first on...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wabaguzi wa Chelsea wapigwa marufuku

Mashabiki wanne wa kilabu ya Chelsea walioshtumiwa kwa kukataa kumrusu mtu mmoja mweusi kuingia katika treni ya Paris Metro wamepigwa marufuku kuhudhuria mechi mechi za soka kwa takriban miaka mitano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyekuwa kocha Chelsea, kuifunza Ghana

Mkufunzi wa zamani wa Chelsea Avram Grant ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Ghana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Drogba anataka kuwa kocha wa Chelsea

Mshambulizi wa zamani wa Chelsea na Ivory Coast Didier Drogba amesema kuwa atarejea Stamford Bridge kuwa kocha.

 

9 years ago

Bongo5

Kocha Jose Mourinho atimuliwa Chelsea

José Mourinho

Chelsea imemtimua meneja wake Jose Mourinho.

José Mourinho

Kocha huyo raia wa Ureno mwenye miaka 52, alikuwa akiifundisha Chelsea kwa awamu ya pili kuanzia June 2013.

Chelsea imekuwa na msimu mbaya zaidi kwa kufungwa mechi 16 hadi sasa.

Pep Guardiola, Guus Hiddink, Brendan Rodgers na Juande Ramos ni majina yanayotajwa zaidi kushika nafasi yake.

Akiwa na Chelsea, kocha huyo alishinda ubingwa wa ligi kuu ya England mara tatu, mbili katika awamu yake ya kwanza kati ya mwaka 2004 na 2007.

Jiunge na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Zambia yamteua naibu kocha mpya

Timu ya soka ya Zambia imemuajiri Nico Lobohm kama naibu kocha wa Honour Janza.

 

9 years ago

Bongo5

Guus Hiddink ateuliwa kuwa kocha mpya Chelsea

151219081747_guus_hiddink_file_512x288_pa_nocredit

Aliyekuwa meneja wa timu ya taifa ya Uholanzi Guus Hiddink ameteuliwa kuwa kocha mpya wa Chelsea hadi mwisho wa msimu.

151219081747_guus_hiddink_file_512x288_pa_nocredit

Ameteuliwa baada ya Jose Mourinho kufukuzwa kazi Alhamisi.

“Nimefurahia kurejea Stamford Bridge. Chelsea ni moja ya klabu kubwa duniani lakini haimo pale inakofaa kuwa kwa sasa. Hata hivyo nina uhakika tunaweza kubadilisha mambo,” amesema Hiddink baada ya kuteuliwa. “Nasubiri kwa hamu kufanya kazi na wachezaji na wakufunzi wenzangu wapya katika klabu hii kubwa na kufufua...

 

9 years ago

StarTV

Klabu Ya Chelsea Yamfuta kazi kocha Jose Mourinho.

 

Bodi ya klabu ya Chelsea The Blues ya England hatimaye imefikia uamauzi wa kumfuta kazi kocha Jose Mourinho chini ya mmiliki wake Roman Abramovic kufuatia  matokeo mabaya kwenye ligi kuu ya England  ikiwa katika nafasi ya 16 ya msimamo wa ligi hiyo.

Klabu hiyo bado haijatangaza rasmi lakini tayari bodi  imepeana mkono wa kwaheri  ikiwa ni miezi saba tangu  alipoiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa EPL msimu uliopita.

Kipigo cha jumatatu wiki hii dhidi ya Leicester City  cha mabao 2-1...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani