Neymar apiga nne, Ronaldo ampiku Raul
Real Madrid na Barcelona zimeng’ang’ania kileleni mwa La Liga wakati Cristiano Ronaldo akiweka rekodi Real ikishinda 3-0 dhidi ya Levante, huku Neymar akifunga bao manne wakati Barca ikichapa Rayo Vallecano 5-2.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Kasi ya Ronaldo yakaribia kuvunja rekodi ya Raul
9 years ago
Bongo501 Oct
Cristiano Ronaldo aifikia rekodi ya Raul, Real ikishinda 2-0
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uErcoZ1KdnLOKiO5fye2AyrXfYq94JTVsUgP-SJlgvwCS1iq8fJhCNxcs4dTsQU8iu-EwiRmVnKi*F6oSaxNv-rlYGbfa8pz/Ronaldo_1832871a.jpg)
HAPPY BIRTHDAY RONALDO, NEYMAR, TEVEZ NA BROWN
9 years ago
Bongo501 Dec
Ronaldo, Messi na Neymar kuwania Ballon d’Or 2015
![151130172052_ballon_640x360_d_nocredit](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/151130172052_ballon_640x360_d_nocredit-300x194.jpg)
Majina ya wachezaji watatu watakaowania tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka duniani yametajwa.
Wanaowania tuzo hiyo ni mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno, Cristiano Ronaldo, Lionel Messi wa Barcelona na Argentina na nyota wa Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior, anayeingia katika kinyang’anyiro hicho kwa mara ya kwanza.
Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kike ni kiungo wa timu ya taifa ya Marekani, Carli Lloyd, Aya Miyama wa Japan pamoja na Celia Sasic wa Ujerumani.
Jiunge na Bongo5.com...
10 years ago
BBCSwahili20 Jun
Neymar apigwa marufuku ya mechi nne
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Kaka apiga bao 100, Ronaldo 400
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Kutana na pichaz 15 za Luis Suarez, Neymar, Ronaldo, Fabregas na wengine walivyosherehekea Chrismass …
Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu kubwa sana duniani, hususani kwa bara la Ulaya shamrashamra za sikukuu hii zinakuwa kubwa sana tofauti na Afrika, Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka walivyopost au kusherehekea sikukuu ya Chrismass na familia, watu wao wa karibu na hata na wapenzi wao. Miongoni […]
The post Kutana na pichaz 15 za Luis Suarez, Neymar, Ronaldo, Fabregas na wengine walivyosherehekea Chrismass … appeared first on TZA_MillardAyo.