HAPPY BIRTHDAY RONALDO, NEYMAR, TEVEZ NA BROWN

Cristiano Ronaldo. MASTAA wa soka duniani Cristiano Ronaldo, Neymar da Silva, Carlos Tevez pamoja na mwanamuziki Bobby Brown leo wanasherehekea sikukuu za kuzaliwa kwao. Cristiano Ronaldo Mwanasoka Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro mwenye umri wa miaka 28, alizaliwa Februari 5, 1985 Santo António, Ureno. Ronaldo ni mshambuliaji wa Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno. Hivi karibuni alitwaa Tuzo ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Neymar apiga nne, Ronaldo ampiku Raul
9 years ago
Bongo501 Dec
Ronaldo, Messi na Neymar kuwania Ballon d’Or 2015

Majina ya wachezaji watatu watakaowania tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka duniani yametajwa.
Wanaowania tuzo hiyo ni mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno, Cristiano Ronaldo, Lionel Messi wa Barcelona na Argentina na nyota wa Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior, anayeingia katika kinyang’anyiro hicho kwa mara ya kwanza.
Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kike ni kiungo wa timu ya taifa ya Marekani, Carli Lloyd, Aya Miyama wa Japan pamoja na Celia Sasic wa Ujerumani.
Jiunge na Bongo5.com...
10 years ago
Vijimambo24 May
HAPPY BIRTHDAY TO MY ONE AND ONLY

10 years ago
Vijimambo08 May
HAPPY BIRTHDAY MO

And below is a small gift from us!

Please join us to wish him a Happy Birthday by follow him on his twitter @moodewji and instagram @moodewji
11 years ago
Vijimambo20 Sep
HAPPY BIRTHDAY
10 years ago
Vijimambo
HAPPY BIRTHDAY TO YOU

9 years ago
MillardAyo25 Dec
Kutana na pichaz 15 za Luis Suarez, Neymar, Ronaldo, Fabregas na wengine walivyosherehekea Chrismass …
Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu kubwa sana duniani, hususani kwa bara la Ulaya shamrashamra za sikukuu hii zinakuwa kubwa sana tofauti na Afrika, Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka walivyopost au kusherehekea sikukuu ya Chrismass na familia, watu wao wa karibu na hata na wapenzi wao. Miongoni […]
The post Kutana na pichaz 15 za Luis Suarez, Neymar, Ronaldo, Fabregas na wengine walivyosherehekea Chrismass … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Vijimambo
HAPPY BIRTHDAY DAD
