Cristiano Ronaldo aifikia rekodi ya Raul, Real ikishinda 2-0
Mwanasoka Cristiano Ronaldo amefikia rekodi ya mabao ya Raul katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya kuifungia mabao yote, Real Madrid ikishinda 2-0 ugenini dhidi ya Malmo FF dakika ya 29 na 90 Uwanja wa Swedbank mchezo wa Kundi A. Ronaldo anakuwa amefikisha mabao 82 katika mechi za Ligi ya Mabingwa na mabao 501 jumla […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Kasi ya Ronaldo yakaribia kuvunja rekodi ya Raul
9 years ago
Bongo522 Oct
Anthony Martial avunja rekodi ya Cristiano Ronaldo akiwa Old Trafford
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Hizi ndio rekodi 7 za Cristiano Ronaldo alizoweka mwaka 2015 pekee …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kuweka rekodi kadhaa kubwa katika soka, ukiachana na kutwaa tuzo ya tatu ya mchezaji bora wa Dunia Ballon d’Or kwa mwaka 2015, Ronaldo amefanikiwa kuweka rekodi 7 mpya. 7- Ronaldo amefanikiwa kufunga jumla ya hat-trick 28 katika kipindi cha mwaka […]
The post Hizi ndio rekodi 7 za Cristiano Ronaldo alizoweka mwaka 2015 pekee … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo514 Nov
Ushauri wa David Beckham kama Cristiano Ronaldo ataondoka Real Madrid
David Beckham mchezaji wa zamani wa soka wa Man United, Real Madrid na timu ya taifa ya Uingereza, Beckham ni mchezaji ambaye alivyo ondoka Man United jezi yake namba saba ilirithiwa na Cristiano Ronaldo.
Beckham alipo kuwa kwenye interview alifunguka kuwa kama Cristiano Ronaldo atahama Real Madrid ni vizuri akirudi Man United,
“Sikuwahi kumshauri yoyote kurudi Man United, Cristiano amekuwa kama shabiki wa Man United kwani anaipenda na amefanya vizuri akiwa Old Trafford na kucheza kwa...
5 years ago
Managing Madrid19 Mar
On This Day Two Years Ago: Cristiano Ronaldo Scores His Last Hat-trick With Real Madrid
5 years ago
Mirror Online08 Mar
Lionel Messi overtakes Cristiano Ronaldo to set new record with goal vs Real Sociedad
9 years ago
Mtanzania19 Oct
Ronaldo aweka rekodi mpya Real Madrid
MADRID, HISPANIA
STAA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, ni rasmi sasa amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa klabu hiyo akifunga mabao 324 kwenye mechi 310.
Rekodi hiyo ameiweka juzi alipofunga bao moja wakati wakiilaza Levante mabao 3-0, mengine yakifungwa na Jesena Marcelo.
Tayari Real Madrid ilikuwa ikimtambua Ronaldo kuweka rekodi hiyo kabla ya mchezo huo, wakihesabia bao la faulo alilofunga dhidi ya Malmo mwaka 2010 lililombabatiza Pepe na kujaa wavuni, limeshampa tuzo ya kiatu...
9 years ago
Mwananchi19 Oct
Neymar apiga nne, Ronaldo ampiku Raul