Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kasi ya Ronaldo yakaribia kuvunja rekodi ya Raul

Uswisi. Tofauti na mechi za Jumanne zilizokuwa na mabao mengi kupindukia, usiku wa Jumatano ulishuhudia matokeo ya kustaajabisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Cristiano Ronaldo aifikia rekodi ya Raul, Real ikishinda 2-0

Mwanasoka Cristiano Ronaldo amefikia rekodi ya mabao ya Raul katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya kuifungia mabao yote, Real Madrid ikishinda 2-0 ugenini dhidi ya Malmo FF dakika ya 29 na 90 Uwanja wa Swedbank mchezo wa Kundi A. Ronaldo anakuwa amefikisha mabao 82 katika mechi za Ligi ya Mabingwa na mabao 501 jumla […]

 

9 years ago

Mwananchi

Neymar apiga nne, Ronaldo ampiku Raul

Real Madrid na Barcelona zimeng’ang’ania kileleni mwa La Liga wakati Cristiano Ronaldo akiweka rekodi Real ikishinda 3-0 dhidi ya Levante, huku Neymar akifunga bao manne wakati Barca ikichapa Rayo Vallecano 5-2.

 

9 years ago

Dewji Blog

Ronaldo ajivunjia rekodi, aweka rekodi mpya

IGxwi

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji bora wa dunia mwaka 2014 na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo (pichani)ameweka rekodi mpya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA baada ya hapo jana kufunga goli 4 katika mchezo kati ya Real na Malmo.

Magoli ya Ronaldo yalifungwa katika dakika ya 39, 47, 50 na 58 na kufanikiwa kufikisha magoli 11 katika michezo ya makundi rekodi ambayo ilikuwa haijawahi kufikiwa na mchezaji yoyote.

Kabla ya kuweka rekodi hiyo mpya, Ronaldo alikuwa na...

 

9 years ago

Habarileo

Mtanzania apania kuvunja rekodi

MTANZANIA Julio Ludago amesema anatarajia kupanda mlima Kilimanjaro Septemba 27, mwaka huu na kuvunja rekodi ya dunia iliyowekwa na raia wa Uswisi, Karl Egloff mwaka jana kwa kupanda kwa haraka.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya yajaribu kuvunja rekodi ya kusoma

Mitt Romney, aliyeshindwa na rais Obama katika uchaguzi wa mwaka 2012 ameamua kutowania tena wadhfa huo.

 

9 years ago

Mtanzania

Fid Q atamani kuvunja rekodi ya mtoto wa Diamond

fid-q-webNA VICTORIA PATRIC (TSJ)

MSANII wa hip hop, Farid Kubanda (Fid Q), ametamani kuwa na wafuatiliaji wengi katika akaunti yake mpya kama atashindwa kuirudisha akaunti yake ya sasa iliyozuiwa na maharamia wa mtandao.

Akaunti ya msanii huyo kwa sasa inasomeka kwa jina la mrembo wa Tanzania 2007, Wema Sepetu, jambo ambalo linachanganya watu wengi.

“Hawa jamaa wanakatisha tamaa maana mimi nilikuwa natumia mtandao wangu kwa kujitangaza, kutangaza kazi zangu mpya na pia kuwasiliana na wadau wangu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wimbo mpya wa Adele wazidi kuvunja rekodi

Wimbo mpya wa mwanamuziki Adele umeendelea kuvunja rekodi, siku chache baada ya kuzinduliwa.

 

10 years ago

Michuzi

Tamasha la 'Handeni Kwetu' lapania kuvunja rekodi

MRATIBU Mkuu wa Tamasha la Utamaduni Handeni, maarufu kama ‘Handeni Kwetu’, Kambi Mbwana, ameapa kuhakikisha kuwa tamasha lao msimu wa 2014 linakuwa la aina yake na kuvunja rekodi ya mwaka jana lilipofanyika kwa mara ya kwanza wilayani Handeni, mkoani Tanga.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mbwana alisema kuwa hiyo ni kutokana na kutamani kushirikisha wasanii wengi kutoka Tanga na Tanzania kwa ujumla.
Alisema kwamba mwaka jana wasanii zaidi ya 200 walionyesha uwezo wao kutoka kwa vikundi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani