Mtanzania apania kuvunja rekodi
MTANZANIA Julio Ludago amesema anatarajia kupanda mlima Kilimanjaro Septemba 27, mwaka huu na kuvunja rekodi ya dunia iliyowekwa na raia wa Uswisi, Karl Egloff mwaka jana kwa kupanda kwa haraka.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Mtanzania apania rekodi ya dunia kupanda Mlima Kilimanjaro
NA FESTO POLEA
MTANZANIA mzaliwa wa Mkoa wa Iringa, Julio Ludago, anatarajia kuvunja rekodi ya dunia ya kupanda na kushuka Mlima Kilimanjaro kwa kutumia muda mfupi zaidi bila kuwa na usaidizi wowote.
Mtanzania huyo anayefanya kazi katika kampuni ya kutembeza watalii ya Ahsante Tours, anataka kuvunja rekodi mbili kubwa zaidi zilizowekwa na Mswisi na Mtanzania, siku ya Septemba 27 mwaka huu, atakapopanda mlima huo.
Ecuadorian Karl Egloff kutoka Uswisi ndiye anayeshikilia rekodi ya kupanda na...
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Kenya yajaribu kuvunja rekodi ya kusoma
10 years ago
MichuziTamasha la 'Handeni Kwetu' lapania kuvunja rekodi
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mbwana alisema kuwa hiyo ni kutokana na kutamani kushirikisha wasanii wengi kutoka Tanga na Tanzania kwa ujumla.
Alisema kwamba mwaka jana wasanii zaidi ya 200 walionyesha uwezo wao kutoka kwa vikundi...
9 years ago
Mtanzania19 Aug
Fid Q atamani kuvunja rekodi ya mtoto wa Diamond
NA VICTORIA PATRIC (TSJ)
MSANII wa hip hop, Farid Kubanda (Fid Q), ametamani kuwa na wafuatiliaji wengi katika akaunti yake mpya kama atashindwa kuirudisha akaunti yake ya sasa iliyozuiwa na maharamia wa mtandao.
Akaunti ya msanii huyo kwa sasa inasomeka kwa jina la mrembo wa Tanzania 2007, Wema Sepetu, jambo ambalo linachanganya watu wengi.
“Hawa jamaa wanakatisha tamaa maana mimi nilikuwa natumia mtandao wangu kwa kujitangaza, kutangaza kazi zangu mpya na pia kuwasiliana na wadau wangu...
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Wimbo mpya wa Adele wazidi kuvunja rekodi
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Kasi ya Ronaldo yakaribia kuvunja rekodi ya Raul
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Lady Jaydee, Diamond nani kuvunja rekodi ya 20% KTMA?
KINYANG’ANYIRO cha Tuzo za Muziki za Kilimanjaro (KTMA 2014), kinaelekea katika hatua ya upigiwaji kura wateule ‘Nominees’, mchakato unaotarajiwa kuanza Aprili Mosi na kuhitimishwa Aprili 30, tayari kwa usiku wa...
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
Timu ya Rainer Zietlow wakaribia kuvunja rekodi ya dunia
Dereva kutoka nchini Ujerumani Rainer Zietlow (katikati) akizungumza na wanahabari kuhusiana na rekodi yake ya kusafiri umbali mrefu Duniani mara baada ya kuwasili nchini Tanzania kwenye Ofisi za Alliance Autos, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya CFAO Motors, Bw.Wayne McIntosh na kushoto ni Meneja Masoko wa CFAO Motors, Tharaia Ahmed.
Na Mwandishi Wetu
DEREVA raia wa Ujerumani Rainer Zietlof yuko mbioni kuvunja rekodi ya dunia ya kuendesha gari kwa kilometa 17,000 kutoka Ulaya...