Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Phiri apewa mechi mbili Simba SC

Kocha mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri. Goodluck Ngai na Wilbert Molandi
UONGOZI wa Klabu ya Simba chini ya kamati ya utendaji, umelipa benchi la ufundi la kikosi chao mechi mbili za kubadili mwenendo wa matokeo ya timu na kuhakikisha timu inapata ushindi na kucheza mpira unaovutia. Tangu kuanza kwa Ligi Kuu Bara msimu huu, Simba imekuwa ikipata matokeo yasiyovutia huku ikicheza michezo mitano na kuambulia pointi tano...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Phiri apewa mechi mbili

WAKATI Benchi la Ufundi la klabu ya Simba likipewa mechi mbili kubadilisha matokeo ya timu hiyo, wachezaji ambao wamesimamishwa kwa tuhuma za kuhujumu timu na ukosefu wa nidhamu, wanatarajia kukutana...

 

10 years ago

GPL

Phiri apewa mechi tano Simba

Kocha mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri. Na Nicodemus Jonas
ALIYEWAHI kuwa Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba, Joseph Itang’are ‘Mzee Kinesi’, ameibuka na kuwataka wanachama na mashabiki kutokata tamaa kuhusu mwenendo wa kikosi chao, huku akitoa mechi tano ndipo waanze kujadili ubora wa kikosi chao. Simba imeanza ligi kwa kusuasua huku ikiwa haijashinda mechi yoyote, zaidi ya kuambulia sare katika michezo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Gabriel apewa marufuku ya mechi moja

Beki wa Arsenal Gabriel Paulista amepewa marufuku ya mechi moja na kupigwa faini ya pauni 10,000 baada ya kukiri shtaka la shirikisho la soka nchini Uingereza FA la utovu wa nidhamu.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mourinho apewa adhabu kukosa mechi moja

Shirikisho la soka barani Ulaya, limempa adhabu Meneja wa Chelsea Mourinho ya kuikosa mechi moja na kutakiwa kulipa faini ya pauni elfu 40 za uingereza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Neymar apewa kadi nyekundu baada ya mechi

Nyota wa timu ya Brazil Neymar alionyeshwa kadi nyekundu baada ya kipenga cha mwisho cha mechi ya kinyang'anyiro cha Copa America baada ya timu yake kufungwa na Colombia

 

10 years ago

TheCitizen

Simba’s Phiri given ultimatum

Pressure is mounting on Zambian technician Patrick Phiri in Dar es Salaam’s Simba Sports Club as the side’s leadership gave him the ultimatum of winning the next two matches in the on going Tanzania Mainland Premier League, failure of which his contract could be terminated.

 

10 years ago

Mtanzania

Phiri kurudisha heshima Simba

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

NA JENNIFER ULLEMBO

KOCHA mpya wa klabu ya Simba, Patrick Phiri, ametua nchini jana na kusema amekuja na malengo ya kurudisha heshima katika timu hiyo ambayo imepotea katika kipindi ambacho imekuwa haifanyi vizuri.

Phiri ni kocha mwenye historia nzuri na klabu hiyo msimu wa ligi kuu wa 2009/2010, ambapo aliweza kuisababisha timu yake hiyo kutwaa ubingwa wa ligi hiyo bila kufungwa mchezo hata mmoja.

Licha ya kuweka rekodi hiyo, lakini pia amewahi kunyakua...

 

10 years ago

GPL

Phiri afunguka wanaoimaliza Simba

Kocha mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Na Nicodemus Jonas
MWENDO wa kusuasua tangu kuanza kwa ligi kuu msimu huu, umeanza kuzua hofu kwa viongozi na wanachama wa kikosi hicho, lakini kocha mkuu, Patrick Phiri ameibuka na kuweka bayana kinachoimaliza timu hiyo. Phiri ambaye ameshuhudia kikosi chake kikishindwa kuwika mbele ya timu za Coastal Union, Polisi Moro na Stand United kikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Taifa, amefunguka na...

 

10 years ago

Mwananchi

Goran kumrithi Phiri Simba

Siku za Patrick Phiri kwenye klabu ya Simba zimeanza kuhesabika baada ya viongozi kuanza mazungumzo na kocha Mserbia, Goran Kopunovic.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani