Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Phiri kurudisha heshima Simba

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

NA JENNIFER ULLEMBO

KOCHA mpya wa klabu ya Simba, Patrick Phiri, ametua nchini jana na kusema amekuja na malengo ya kurudisha heshima katika timu hiyo ambayo imepotea katika kipindi ambacho imekuwa haifanyi vizuri.

Phiri ni kocha mwenye historia nzuri na klabu hiyo msimu wa ligi kuu wa 2009/2010, ambapo aliweza kuisababisha timu yake hiyo kutwaa ubingwa wa ligi hiyo bila kufungwa mchezo hata mmoja.

Licha ya kuweka rekodi hiyo, lakini pia amewahi kunyakua...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda awapa somo viongozi wa Mbeya kurudisha heshima ya elimu

Hivi karibuni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliwaagiza viongozi wa mkoa, wilaya na halmashauri zote mkoani Mbeya kujipanga kwa lengo la kurudisha heshima ya Mkoa wa Mbeya katika sekta ya elimu.

 

10 years ago

TheCitizen

Simba’s Phiri given ultimatum

Pressure is mounting on Zambian technician Patrick Phiri in Dar es Salaam’s Simba Sports Club as the side’s leadership gave him the ultimatum of winning the next two matches in the on going Tanzania Mainland Premier League, failure of which his contract could be terminated.

 

10 years ago

GPL

Phiri afunguka wanaoimaliza Simba

Kocha mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Na Nicodemus Jonas
MWENDO wa kusuasua tangu kuanza kwa ligi kuu msimu huu, umeanza kuzua hofu kwa viongozi na wanachama wa kikosi hicho, lakini kocha mkuu, Patrick Phiri ameibuka na kuweka bayana kinachoimaliza timu hiyo. Phiri ambaye ameshuhudia kikosi chake kikishindwa kuwika mbele ya timu za Coastal Union, Polisi Moro na Stand United kikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Taifa, amefunguka na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Phiri ajivunia kiwango Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, amesema kutokana na ubora wa kikosi alichonacho anauhakika kuwa kikosi hicho kitatwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/2015. Kauli hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri awatoa hofu Simba

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo na kusema kuwa kipigo walichopata kutoka kwa URA na sare dhidi ya Ndanda FC haimaanishi kuwa timu yao ni mbovu.

 

10 years ago

GPL

Phiri amtuliza Tambwe Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya kumuacha katika kikosi cha timu hiyo kilichocheza dhidi ya URA ya Uganda hivi karibuni, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, amemtuliza mshambuliaji wake raia wa Burundi, Amissi Tambwe na kumhakikishia kuwa atapata nafasi ya kucheza. Ijumaa iliyopita, Tambwe alijikuta katika wakati mgumu baada kutoswa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kilicheza na URA na...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri anogewa mfumo wa 3-5-2 Simba

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema ataendelea kutumia mfumo alioutumia katika mechi dhidi ya Yanga, Jumamosi ili kuimaliza Prisons kwao.

 

10 years ago

Mtanzania

Phiri ajivunia chipukizi Simba

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia Patrick Phiri, amesema anajivunia kuwa na kikosi bora na imara chenye wachezaji chipukizi ambacho kinajiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayoanza Septemba 20, mwaka huu.

Katika msimu huu wa ligi, Simba imesajili wachezaji wengi chipukizi na kuwaondoa wakongwe baada ya timu hiyo kupata matokeo mabaya katika msimu uliopita na kumaliza ikiwa katika nafasi ya nne.

Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar...

 

10 years ago

Mwananchi

Goran kumrithi Phiri Simba

Siku za Patrick Phiri kwenye klabu ya Simba zimeanza kuhesabika baada ya viongozi kuanza mazungumzo na kocha Mserbia, Goran Kopunovic.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani