Goran kumrithi Phiri Simba
Siku za Patrick Phiri kwenye klabu ya Simba zimeanza kuhesabika baada ya viongozi kuanza mazungumzo na kocha Mserbia, Goran Kopunovic.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania14 May
Sita wataka kumrithi Goran Simba
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
WAKATI Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic akiendelea kung’ang’ania kuongezewa dau na uongozi wa klabu hiyo, tayari makocha sita wametuma maombi ya kuchukua nafasi yake endapo klabu hiyo itashindwa kufikia dau lake.
Goran bado ameendelea na msimamo wake akitaka kulipwa mshahara wa Sh milioni 28, ambapo uongozi wa Simba umedai kuwa kiasi hicho ni kikubwa na kumtaka hadi kesho awe ametoa jibu kama ataweza kukipunguza.
Habari za uhakika ilizozipata MTANZANIA,...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PVA1p0mIlDE/VKK_GEN3v_I/AAAAAAAG6nE/CzC-8-jfo60/s72-c/PatrickPh1.jpg)
WAGANDA WAMPONZA PHIRI, GORAN KUTUA LEO!!
![](http://4.bp.blogspot.com/-PVA1p0mIlDE/VKK_GEN3v_I/AAAAAAAG6nE/CzC-8-jfo60/s1600/PatrickPh1.jpg)
Habari za uhakika kutoka Simba zinasema kuwa uongozi wa klabu hiyo chini ya mwenyekiti wake Evans Aveva uliketi juzi usiku majira ya saa mbili na kikao kumalizika saa saba usiku kwa maazimio ya kumfukuza Phiri na jana jioni alikabidhiwa rasmi barua yake ya kuachishwa kazi na nafasi yake...
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Kerr amrithi Goran Simba
10 years ago
Mwananchi18 May
MASLAHI: Goran aishangaa Simba kumtosa
10 years ago
Mwananchi14 May
Dau la Goran laitoa jasho Simba
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Goran: Saa 456 za Simba kutwaa ubingwa
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RJJr8Zgmh9g/VKQCd2NFAOI/AAAAAAAG6y0/r0f6kuhD-TI/s72-c/1331248128Goran-Kopunovic.jpg)
GORAN AMWAGA WINO KWA MWAKA MMOJA KUINOA SIMBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-RJJr8Zgmh9g/VKQCd2NFAOI/AAAAAAAG6y0/r0f6kuhD-TI/s1600/1331248128Goran-Kopunovic.jpg)
Mmoja wa viongozi wa Simba aliiambia blog ya jamii kuwa kocha huyo aliyewasili leo asubuhi na kufikia kwenye hotel ya Double Tree Masaki ataondoka kesho kwenda Zanzibar kujiunga na timu hiyo ya wekundu wa Msimbazi inayoshiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi.
Naye Kopunovic akizungumza muda mfupi baada ya kukanyaga hardhi ya Tanzania alisema "Nimekuja kufanya kazi, naamini nitapata...
10 years ago
TheCitizen30 Oct
Simba’s Phiri given ultimatum
10 years ago
Mtanzania09 Sep
Phiri ajivunia chipukizi Simba
![Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Patrick-Phiri.jpg)
Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia Patrick Phiri, amesema anajivunia kuwa na kikosi bora na imara chenye wachezaji chipukizi ambacho kinajiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayoanza Septemba 20, mwaka huu.
Katika msimu huu wa ligi, Simba imesajili wachezaji wengi chipukizi na kuwaondoa wakongwe baada ya timu hiyo kupata matokeo mabaya katika msimu uliopita na kumaliza ikiwa katika nafasi ya nne.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar...