Dau la Goran laitoa jasho Simba
Dar es Salaam.Baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, kocha Goran Kopunovic ameutaka uongozi kumpa mkataba mpya utakaomwezesha kulipwa Dola 7,500 (Sh 14.6 milioni ) kwa mwezi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Goran kumrithi Phiri Simba
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Kerr amrithi Goran Simba
10 years ago
Mwananchi18 May
MASLAHI: Goran aishangaa Simba kumtosa
10 years ago
Mtanzania14 May
Sita wataka kumrithi Goran Simba
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
WAKATI Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic akiendelea kung’ang’ania kuongezewa dau na uongozi wa klabu hiyo, tayari makocha sita wametuma maombi ya kuchukua nafasi yake endapo klabu hiyo itashindwa kufikia dau lake.
Goran bado ameendelea na msimamo wake akitaka kulipwa mshahara wa Sh milioni 28, ambapo uongozi wa Simba umedai kuwa kiasi hicho ni kikubwa na kumtaka hadi kesho awe ametoa jibu kama ataweza kukipunguza.
Habari za uhakika ilizozipata MTANZANIA,...
10 years ago
Mwananchi24 Mar
Goran: Saa 456 za Simba kutwaa ubingwa
10 years ago
MichuziGORAN AMWAGA WINO KWA MWAKA MMOJA KUINOA SIMBA
Mmoja wa viongozi wa Simba aliiambia blog ya jamii kuwa kocha huyo aliyewasili leo asubuhi na kufikia kwenye hotel ya Double Tree Masaki ataondoka kesho kwenda Zanzibar kujiunga na timu hiyo ya wekundu wa Msimbazi inayoshiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi.
Naye Kopunovic akizungumza muda mfupi baada ya kukanyaga hardhi ya Tanzania alisema "Nimekuja kufanya kazi, naamini nitapata...
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Kama Mbwana Samatta akisaini KRC Genk ya Ubelgiji, Simba watapata dau hili kutoka kwa Samatta…
Bado headlines za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Mbwana Samatta zinazidi kuandikwa kila siku. Kwa sasa Mbwana Samatta anakaribia kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji kwani kinachosubiriwa kwa sasa ni kuafikiana na ada ya uhamisho wa mshambuliaji huyo. Klabu ya TP […]
The post Kama Mbwana Samatta akisaini KRC Genk ya Ubelgiji, Simba watapata dau hili kutoka kwa Samatta… appeared first on...
10 years ago
Mwananchi17 Apr
Goran aiombea mabaya Azam
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Homa ya mechi yamtesa Goran