Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Goran aiombea mabaya Azam

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic amesema anahitaji kushinda mechi tatu mfululizo ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kumalizakatika nafasi ya pili msimu huu wa Ligi Kuu Bara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Neto wa Mgambo aiombea mabaya Yanga

Mshambuliaji wa Mgambo Shooting, Mohamed Neto amesema anaiombea dua njema Azam FC ili itwae ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini si Yanga.

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta aiombea Ukawa dua mbaya

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

Na Maregesi Paul, Dodoma

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amesema wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ni sawa na waigizaji wa nchini Marekani.

Amesema ushahidi wa uigizaji huo utadhihirika mwakani baada ya kushindwa kwao katika uchaguzi mkuu wa kumchagua rais, wabunge na madiwani.

Sitta alitoa kauli hiyo yenye kila dalili za kuwaombea anguko kubwa wanasiasa wa...

 

11 years ago

Habarileo

Mrema aiombea heri ndoa ya Chadema, CUF, NCCR

 Augustine Mrema MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP ) ametaja ushirikiano wa vyama vitatu vinavyounda kambi rasmi ya upinzani bungeni kwamba ni ndoa ambayo kama wahusika wangekuwa na nia njema, ungeanza siku nyingi tangu Chadema kilipounda baraza lake mwaka 2010.

 

10 years ago

Mwananchi

Goran kumrithi Phiri Simba

Siku za Patrick Phiri kwenye klabu ya Simba zimeanza kuhesabika baada ya viongozi kuanza mazungumzo na kocha Mserbia, Goran Kopunovic.

 

10 years ago

Mwananchi

Homa ya mechi yamtesa Goran

Kocha wa Simba Goran Kopunovic ni kama ana wasiwasi mkubwa na mechi hiyo ambayo yeye ni mara yake ya kwanza kukutana na Yanga tangu achukue mikoba ya kuifundisha timu hiyo kutoka kwa Patrick Phiri aliyesitishiwa ajira yake kutokana na mwenendo mbovu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kerr amrithi Goran Simba

Rais wa Simba, Evans Aveva alitumia dakika 17 kutangaza mabadiliko ya benchi la ufundi la timu hiyo litakalokuwa chini ya kocha Muingereza Dylan Kerr (pichani).

 

10 years ago

Mtanzania

Sita wataka kumrithi Goran Simba

Goran-KopunovicNA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
WAKATI Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic akiendelea kung’ang’ania kuongezewa dau na uongozi wa klabu hiyo, tayari makocha sita wametuma maombi ya kuchukua nafasi yake endapo klabu hiyo itashindwa kufikia dau lake.
Goran bado ameendelea na msimamo wake akitaka kulipwa mshahara wa Sh milioni 28, ambapo uongozi wa Simba umedai kuwa kiasi hicho ni kikubwa na kumtaka hadi kesho awe ametoa jibu kama ataweza kukipunguza.
Habari za uhakika ilizozipata MTANZANIA,...

 

10 years ago

Mwananchi

MASLAHI: Goran aishangaa Simba kumtosa

>Kocha Goran Kopunovic amesema kiasi cha dola 20,000 pekee ndiyo kimemyima ajira ya kuendelea kuifundisha Simba kwa ajili ya msimu ujao.

 

10 years ago

Mwananchi

Dau la Goran laitoa jasho Simba

Dar es Salaam.Baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, kocha Goran Kopunovic ameutaka uongozi kumpa mkataba mpya utakaomwezesha kulipwa Dola 7,500 (Sh 14.6 milioni ) kwa mwezi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani