Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrema aiombea heri ndoa ya Chadema, CUF, NCCR

 Augustine Mrema MBUNGE wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP ) ametaja ushirikiano wa vyama vitatu vinavyounda kambi rasmi ya upinzani bungeni kwamba ni ndoa ambayo kama wahusika wangekuwa na nia njema, ungeanza siku nyingi tangu Chadema kilipounda baraza lake mwaka 2010.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Nape asema ni ndoa ya Chadema, CUF, NCCR ya ubabaishaji

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape NnauyeKATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema ‘ndoa’ upinzani bungeni iliyozaa Baraza Kivuli la Mawaziri la vyama vya Chedema, CUF na NCCR-Mageuzi, ni mwendelezo wa ubabaishaji na matusi makubwa kwa vyama vingine vilivyokubali ndoa hiyo hasa CUF.

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi Chadema, CUF, NCCR watakiwa kujiuzulu

WANACHAMA wa vyama vya siasa vya upinzani kikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR-Mageuzi na Chama cha Wananchi-CUF, wametakiwa kuwashurutisha viongozi wao wa kitaifa wajiuzulu mara moja kwa kususia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Makilagi: Chadema ‘imeiua’ CUF, NCCR Uchaguzi Mitaa

Mbunge wa Viti Maalumu CCM, Amina Makilagi amesema kuwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ni janja ya Chadema kufifisha nguvu ya vyama vya CUF na NCCR-Mageuzi.

 

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA, CUF, NCCR MAGEUZI NA NLD VYATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO HII LEO

Viongozi wa juu wa vyama vinne vya siasa nchini Tanzania vimeingia makubaliano ya ushirikiano wa shughuli mbalimbali za siasa hii leo na miongoni mwa mambo hayo ni kusimamisha wagombea wa pamoja katika uchaguzi wa Serikali za Mtaa na Uchaguzi Mkuu wa wabunge, madiwani, wawakilishi na Rais 2015. Kutoka kushoto ni James Mbatia wa NCCR-MAGEUZI, Prof Ibrahim Li[pumba wa chama cha Wananchi CUF, Freeman Mbowe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Dk. Emmanuel makaidi wa NLD wakionesha...

 

10 years ago

Michuzi

WENYEVITI WA TAIFA WA VYAMA VYA NCCR -MAGEUZI ,JAMES MBATIA NA AGUSTINE MREMA WA TLP WAWANADI WAGOMBEA WAO JIMBONI VUNJO.

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi akiendelea na mikutano ya kampeni katika kijiji cha Kisangesangeni kata ya Kahe akiwanadi wagombea wa nafasi za Uenyekiti.Msafara wa Pikipiki ukiongoza kuelekea kijiji cha Ngaseni kwa ajili ya mikutano ya kampeni ya chama cha NCCR-Mageuzi.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Habarileo

Mbunge avitabiria CUF, NCCR anguko

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuungana kwa vyama vinne ya siasa vya upinzani na kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) hasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ni sawa na kujiua kisiasa na kukijenga zaidi Chadema.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CUF, NCCR walaani Polisi kupiga waandishi

CHAMA cha Wananchi (CUF), na NCCR Magaeuzi, vimelaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga Waandishi wa Habari waliokuwa wakifuaitilia kuhojiwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe kuwateua Cuf, NCCR Baraza Kivuli

>Mvutano katika mchakato wa Katiba umeimarisha ushirikiano wa vyama vya Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi na sasa kuna mpango wa kuundwa upya kwa Baraza la Mawaziri Kivuli ambalo litawajumuisha wabunge wa vyama hivyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani