Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Neto wa Mgambo aiombea mabaya Yanga

Mshambuliaji wa Mgambo Shooting, Mohamed Neto amesema anaiombea dua njema Azam FC ili itwae ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, lakini si Yanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Goran aiombea mabaya Azam

Kocha wa Simba, Goran Kopunovic amesema anahitaji kushinda mechi tatu mfululizo ili kujiweka katika mazingira mazuri ya kumalizakatika nafasi ya pili msimu huu wa Ligi Kuu Bara.

 

10 years ago

Vijimambo

MTANANGE WA YANGA NA MGAMBO JKT YANGA YASHINDA 2-0 TAIFA

Mashabiki Yangawakishangilia ushindi wa goli 2 huku wakionyesha vidole viwili juu katika mtanange wale Taifa kati ya timu ya Mgambo JKT kutoka Tanga na Yanga ya Dar es Salaam na timu ya Yanga kuibuka na pointi zote 3 baada ya kuifunga timu hiyo ya wagosi wa kaya kwa bao 2-0.Ni raha tu kama wanavyoonekana mashabiki wa Yanga walioshuhudia timu hiyo ilipoibanjua Magambo JKT  kwa bao 2-0 kwa mechi iliyochezewa uwanja wa Taifa.Kipa wa Mgambo JKT, Said Lubawa, akilalamika baada ya Msuva kuutundika...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Mgambo vitani

MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga leo wanaingia kambini Bagamoyo kujiandaa kwa ajili ya mchezo dhidi ya Mgambo Shooting ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkwakwani.

 

9 years ago

Habarileo

Mgambo waipania Yanga Tanga

KOCHA Bakari Shime wa Mgambo JKT, amesema amekiandaa kikosi chake kuweka rekodi msimu huu kwa kuwa timu ya kwanza kuwafunga mabingwa watetezi Yanga katika pambano la Ligi Kuu litakalopigwa Mkwakwani Desemba 12.

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga waivamia Mgambo Tanga

MMGM00291NA OSCAR ASSENGA, TANGA

ZIKIWA zimebakia siku sita kabla ya timu ya Yanga kukipiga na Mgambo JKT ya mkoani Tanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, mmoja wa vigogo wa timu hiyo ametua jijini humo wikiendi iliyopita tayari kabisa kuweka mazingira sawa ya kuibuka na ushindi.

Yanga inakabiliwa na mchezo huo mgumu utakaofanyika Uwanja wa Mkwakwani kwenye mwendelezo wa ligi hiyo, iliyosimama takribani mwezi mmoja na nusu kupisha michuano ya Kombe la Chalenji na mechi za mbili za timu ya...

 

10 years ago

Michuzi

Yanga ilipoitungua Mgambo Shooting bao 2-0

 Mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho akichuana na beki wa Mgambo Shooting, Bushiru Mohamed katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)Golikipa wa Ruvu Shooting, Said Lubawa akiokoa moja ya hatari zilizoelekezwa langoni mwake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja Taifa jijini Dar es Salaam.
Andrey Coutinho akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mgambo.Mrisho Ngasa...

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga sc kamili yaifuata Mgambo Tanga

YangaNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KIKOSI cha timu ya Yanga kinatarajiwa kuelekea jijini Tanga leo, tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mgambo Shooting uliopangwa kufanyika Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani mkoani humo.

Kwa mujibu wa kocha mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ataondoka na wachezaji wote wa timu hiyo na anatarajia kupanga kikosi kitakachoshuka dimbani kesho jioni.

Pluijm alisema kuwa awali walikuwa na mpango wakuweka kambi mjini Bagamoyo, lakini kutokana na sababu...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yatuliza kichwa mbele ya Mgambo

Dar es Salaam. Yanga inaikabili Mgambo Shooting leo kwenye Uwanja wa Mkwakani Tanga, huku ikihitaji ushindi ili izidi kuikimbia Azam FC inayofukuzana nayo kileleni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam kuitoa Yanga,pia itacheza na Mgambo

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo Jumatano katika viwanja viwili nchini Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani