Yanga waivamia Mgambo Tanga
NA OSCAR ASSENGA, TANGA
ZIKIWA zimebakia siku sita kabla ya timu ya Yanga kukipiga na Mgambo JKT ya mkoani Tanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, mmoja wa vigogo wa timu hiyo ametua jijini humo wikiendi iliyopita tayari kabisa kuweka mazingira sawa ya kuibuka na ushindi.
Yanga inakabiliwa na mchezo huo mgumu utakaofanyika Uwanja wa Mkwakwani kwenye mwendelezo wa ligi hiyo, iliyosimama takribani mwezi mmoja na nusu kupisha michuano ya Kombe la Chalenji na mechi za mbili za timu ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo07 Dec
Mgambo waipania Yanga Tanga
KOCHA Bakari Shime wa Mgambo JKT, amesema amekiandaa kikosi chake kuweka rekodi msimu huu kwa kuwa timu ya kwanza kuwafunga mabingwa watetezi Yanga katika pambano la Ligi Kuu litakalopigwa Mkwakwani Desemba 12.
9 years ago
Mtanzania10 Dec
Yanga sc kamili yaifuata Mgambo Tanga
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KIKOSI cha timu ya Yanga kinatarajiwa kuelekea jijini Tanga leo, tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mgambo Shooting uliopangwa kufanyika Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani mkoani humo.
Kwa mujibu wa kocha mkuu wa Yanga, Hans Van der Pluijm, ataondoka na wachezaji wote wa timu hiyo na anatarajia kupanga kikosi kitakachoshuka dimbani kesho jioni.
Pluijm alisema kuwa awali walikuwa na mpango wakuweka kambi mjini Bagamoyo, lakini kutokana na sababu...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Niliyojionea Simba vs Mgambo JKT Tanga
“TULIKUWA tunamsikia tu Mzungu wa Simba. Kumbe ndie huyu, hana lolote,” alisikika mmoja wa mashabiki na wakazi wa Tanga wakati mechi ya maafande wa Mgambo JKT ya jijini hapa dhidi...
10 years ago
Vijimambo
MTANANGE WA YANGA NA MGAMBO JKT YANGA YASHINDA 2-0 TAIFA



11 years ago
Michuzi16 Sep
KAGERA SUGAR WAIFUATA MGAMBO JKT MJINI TANGA
9 years ago
Habarileo07 Dec
Yanga, Mgambo vitani
MABINGWA wa soka Tanzania Bara, Yanga leo wanaingia kambini Bagamoyo kujiandaa kwa ajili ya mchezo dhidi ya Mgambo Shooting ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkwakwani.