Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAGERA SUGAR WAIFUATA MGAMBO JKT MJINI TANGA

Na Faustine Ruta, BukobaKikosi cha Timu ya Wakata Miwa Kagera Sugar wameanza leo hii safari  kuelekea jijini Tanga kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi wa Ligi kuu soka Tanzania bara katika uwanja wa CCM Mkwakwani dhidi ya wenyeji Mgambo JKT, septemba 20 mwaka huu.Kocha msaidizi wa Kagera Sugar, Murage Kabange amesema klabu hiyo ina jumla ya wachezaji 25 na hii leo tayari wapo safari na  viongozi watano kwenda kusaka pointi tatu muhimu.Kabange aliongeza kuwa wameamua kuanza safari mapema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Niliyojionea Simba vs Mgambo JKT Tanga

“TULIKUWA tunamsikia tu Mzungu wa Simba. Kumbe ndie huyu, hana lolote,” alisikika mmoja wa mashabiki na wakazi wa Tanga wakati mechi ya maafande wa Mgambo JKT ya jijini hapa dhidi...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.

Taswira ya Uwanja wa Kaitabaulivyo kwa sasa.
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukata waitesa Mgambo JKT

KOCHA Mkuu wa timu ya Mgambo JKT, Bakari Shime, amesema ukata wa fedha kwa timu yao umekuwa kikwazo kwa benchi la ufundi kutimiza program za kusuka vizuri kikosi ikiwemo kupata...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kocha Mgambo JKT aongezewa mkataba

KOCHA wa timu ya Mgambo Shooting ya Tanga, Bakari Shime, amekubali kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuinoa timu hiyo kwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Shime aliyeichukua timu hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

MBEYA CITY NA MGAMBO JKT ZATOKA NGOMA DROO 1-1

 Mbeya city yatoka sale na Mgambo Jkt kwa mabao ya goli 1-1  ambapo  Goli la Timu ya Mbeya City Fc lilifungwa na Abdalla Juma Dakika ya 30 huku Fully Zullu Maganga akisawazisha na kuipatia Goli Timu ya Mgambo Jkt Dakika ya 71 katika Mtanange uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya  katika  muendelezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.Kikosi cha Timu ya Mgambo Jkt katika Picha ya Pamoja Kabla ya mechi kuanza.Kikosi cha Timu ya Mbeya City Wakoma Kumwanya.Mashabiki wa Timu ya Mbeya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani