Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Phiri awatoa hofu Simba

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo na kusema kuwa kipigo walichopata kutoka kwa URA na sare dhidi ya Ndanda FC haimaanishi kuwa timu yao ni mbovu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Maswi awatoa hofu Tanesco

KATIBU Mkuu Wizara ya Nishatu na Madini, Eliakim Maswi amewatoa hofu ya kufukuzwa au kupunguzwa kwa wafanyakazi wa shirika la Tanesco kutokana na Serikali kuanzisha mkakati na mwelekeo wa kurekebisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Lubuva awatoa hofu wapigakura

Babati,Dar. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damiani Lubuva amesema kwamba, kazi ya uandikishaji wa Daftari la Wapigakura inaendelea vizuri hivyo wananchi wasiwe na hofu.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI AWATOA HOFU WAWEKEZAJI NCHINI



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki akioneshwa na kupewa maelezo kuhusu mtambo wa kuzalisha mvinyo kutoka kwa Mhandisi wa Kemikali na Mchakato tija wa kiwanda hicho, Daniel Mollel wakati wa ziara yake katika kiwanda cha kuzalisha mvinyo cha DOMIYA.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah...

 

9 years ago

Michuzi

PROFESA MUHONGO AWATOA HOFU WACHIMBAJI WADOGO

Serikali imedhamiria kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini nchini ili kukuza uchumi wa Taifa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kwenye kikao chake na wachimbaji wadogo wa madini kutoka mikoa ya Simiyu na Mara. Profesa Muhongo alisema sekta ndogo ya madini nchini inao mchango mkubwa kwenye pato la Taifa wa kuondoa umasikini nchini na hivyo Serikali kwa jitihada mbalimbali itahakikisha wachimbaji wadogo wananufaika ipasavyo pamoja na kuchangia ukuaji wa...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri awatoa hofu wananchi kuhusu Mloganzila

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Ummy Mwalimu na Prof. Lawrence Museru wakimsikiliza Bi. Anna Msaki akielezea namna anavyopatiwa matibabu hospitalini hapo. Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Tiba katika Hospitali ya MNH-Mloganzila, Dkt. Mohamed Mohamed akifafanua namna wataalam wa afya wanashirikiana katika kutoa huduma hospitalini hapa.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitoa mapendekezo ya namna eneo maalum...

 

10 years ago

Habarileo

Nabii awatoa hofu ya kufa wagombea urais

Nabii John KomanyaSERIKALI imeombwa kuimarisha ulinzi wa kutosha katika kuelekea uchaguzi mkuu ili wananchi waendelee kuishi kwa amani na utulivu.

 

5 years ago

Michuzi

Dc Daqarro awatoa hofu wamachinga kutowaondoa soko lililoungua Samunge

Na Ahmed Mahmoud,ArushaSerikali imewahakikishia wamachinga kuendelea kufanyabiashara kwenye soko la Samunge lililoungua moto na kuwaondolea hofu iliyojengeka kwamba ina mpango wa kuwaondoa katika soko hilo.

Akiongea na maelfu ya wafanyabiashara hao zaidi ya 5000 Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro ameigiza halmashauri ya jiji la Arusha kuhakikisha wanaharakisha kujenga miundombinu ya soko hilo ili kuwapa nafasi wafanyabiashara kuendelea na shughuli zao.
Ameeleza kuwa hakuna mfanyabiashara...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Iddi awatoa hofu madaktari wa Cuba, Zanzibar

377

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Kiongozi wa Madaktari wa Cuba Profesa Ulpiano Nyumbani kwake Vuga Mjini Zanzibar baada ya kuvamiwa na majambazi jana usiku yeye na wenzake  maeneo kati ya Kikwajuni na SUZA.

Kamanda wa Polisi Mkoa Mjini Magharibi  Msaidizi Kamishna wa Polisi { ACP } Mkadam Khamis Mkadam alisema Jeshi la Polisi Mkoa huo linawashikilia  watu wawili  miongoni mwa majambazi wanaotuhumiwa kuhusika na uvamizi wa Madaktari Bingwa wa Cuba  katika...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wolper Awatoa Hofu Mashabiki, Asisitiza Kubaki Kuwa Jacqueline Lowassa

Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper ambaye amejipambanua siasa kuwa anaunga mkono madadiliko kupitia UKAWA na kushiriki katika harakati za kumpigia kampeni Mh Edward Lowassa ambaye ni mgombea urasi kupitia UKAWA kwa tiketi ya CHADEMA, amewatoa hofu mashabiki wao kuwa hakuna bifu miongoni mwao kwani siasa zikiisha wataendelea na maisha yao kama kawaida tofauti na baadhi ya mashabiki wanavyodhani hasa baada ya wasanii hao wa bongo movies walivyotafautiana kimitazamo ya kisiasa kwakipindi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani