Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dc Daqarro awatoa hofu wamachinga kutowaondoa soko lililoungua Samunge

Na Ahmed Mahmoud,ArushaSerikali imewahakikishia wamachinga kuendelea kufanyabiashara kwenye soko la Samunge lililoungua moto na kuwaondolea hofu iliyojengeka kwamba ina mpango wa kuwaondoa katika soko hilo.

Akiongea na maelfu ya wafanyabiashara hao zaidi ya 5000 Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro ameigiza halmashauri ya jiji la Arusha kuhakikisha wanaharakisha kujenga miundombinu ya soko hilo ili kuwapa nafasi wafanyabiashara kuendelea na shughuli zao.
Ameeleza kuwa hakuna mfanyabiashara...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI MKOA WA ARUSHA YAIMARISHA ULINZI NA USALAMA ZOEZI LA WAMACHINGA SAMUNGE


Wamachinga wakiwa kwenye eneo la Soko la Samunge wakijiandaa kuanza Ujenzi wa vibanda vyao Mara baada ya zoezi la kugawa maeneo lilipoanza picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha


Michoro ya mgao wa maeneo ya vibanda vya soko la Samunge kama vinavyoonekana Leo Mara baada ya zoezi hilo la ugawaji kuanza Jana na Leo huku wengine wakianza kama walivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha.













Ujenzi ukiendelea kama unavyoonekana pichani leo ndani ya eneo la soko la Samunge hilo ni eneo la Mashariki...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wajasiriamali wa soko lililoungua Arusha wamshukuru Nyalandu

IMG-20150321-WA0002
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akiongea na waandishi wa habari na Wajasiriamali wa soko la vinyago lililoungua moto Mkoani Arusha, mara baada ya kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kupitia Tanapa ili ziweze kusaidia ujenzi wa soko hilo. Makabidhiano hayo yalifanyika jana Mkoani Arusha.

IMG-20150321-WA0003

 

11 years ago

Michuzi

Mbunge wa Temeke Mhe. Abbas Mtemvu atembelea eneo lililoungua soko la Keko

 Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akiingia eneo lililopata madhara kutokana na kuungua moto usiku wa kuamkia leo, katika soko la Keko, katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam. Mtemvu amewapa pole walipoteza mali zao kutokana na moto huo ambao chanzo cha ke hakijajulikana.  Hadi inakisiwa imepatikana hasara ya zaidi ya sh. milioni 97.  Naibu Katibu wa soko la Keko, Hassan Gitigi (kushoto) akimpa maelezo Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu kuhusu madhara yaliyosababishwa na moto huo  Baadhi ya...

 

5 years ago

Michuzi

DC.DAQARRO APINGA MACHINGA KUTOZWA FEDHA SOKO LA MADINI ASEMA MAAGIZO YA RAIS YAFUATWE


Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini Gabriel Daqarro akiwa na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt.Maulid Madeni wakiongea na waandishi wa habari ofisini kwake ambapo ametaka wamachinga wasibughuziwe wa kutozwa michango ndani ya Jiji hilo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Pichani ni sehemu ya risiti zisizo za Efds ambazo wamachinga kwenye Soko la madini jijini Arusha wamekuwa wakitozwa kiasi cha tsh.300 kwa siku kupata huduma sokoni humo huku wakiwa na vitambulisho vya machinga
Mkuu wa soko la...

 

10 years ago

Mwananchi

Lubuva awatoa hofu wapigakura

Babati,Dar. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damiani Lubuva amesema kwamba, kazi ya uandikishaji wa Daftari la Wapigakura inaendelea vizuri hivyo wananchi wasiwe na hofu.

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri awatoa hofu Simba

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo na kusema kuwa kipigo walichopata kutoka kwa URA na sare dhidi ya Ndanda FC haimaanishi kuwa timu yao ni mbovu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maswi awatoa hofu Tanesco

KATIBU Mkuu Wizara ya Nishatu na Madini, Eliakim Maswi amewatoa hofu ya kufukuzwa au kupunguzwa kwa wafanyakazi wa shirika la Tanesco kutokana na Serikali kuanzisha mkakati na mwelekeo wa kurekebisha...

 

9 years ago

Michuzi

PROFESA MUHONGO AWATOA HOFU WACHIMBAJI WADOGO

Serikali imedhamiria kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini nchini ili kukuza uchumi wa Taifa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kwenye kikao chake na wachimbaji wadogo wa madini kutoka mikoa ya Simiyu na Mara. Profesa Muhongo alisema sekta ndogo ya madini nchini inao mchango mkubwa kwenye pato la Taifa wa kuondoa umasikini nchini na hivyo Serikali kwa jitihada mbalimbali itahakikisha wachimbaji wadogo wananufaika ipasavyo pamoja na kuchangia ukuaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

Nabii awatoa hofu ya kufa wagombea urais

Nabii John KomanyaSERIKALI imeombwa kuimarisha ulinzi wa kutosha katika kuelekea uchaguzi mkuu ili wananchi waendelee kuishi kwa amani na utulivu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani