Mbunge wa Temeke Mhe. Abbas Mtemvu atembelea eneo lililoungua soko la Keko
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akiingia eneo lililopata madhara kutokana na kuungua moto usiku wa kuamkia leo, katika soko la Keko, katika jimbo hilo jijini Dar es Salaam. Mtemvu amewapa pole walipoteza mali zao kutokana na moto huo ambao chanzo cha ke hakijajulikana. Hadi inakisiwa imepatikana hasara ya zaidi ya sh. milioni 97. Naibu Katibu wa soko la Keko, Hassan Gitigi (kushoto) akimpa maelezo Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu kuhusu madhara yaliyosababishwa na moto huo Baadhi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKesi ya kupinga matokeo ya ubunge iliyowailishwa na aliyekuwa Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu yaanza
Mgombea urais kupitia Chama cha Chauma na ...
10 years ago
Dewji Blog08 Jul
Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu atoa misaada kwa watu wenye mahitaji maalum Dar
Baadhi ya misaada mbalimbali iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu kwa watu wenye mahitaji maalum.(Picha zote na Khamisi Mussa).
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu akizungumza na walezi wa watu wenye mahitaji maalum, wakati Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipokabidhi misaada ya vitu mbalimbali, vikiwemo vyakula, mafuta ya kula, magodoro na kompyuta ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge...
10 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ATOWA MADAWATI 270 KWA SEKONDARI ZA JIMBO LAKE
Baadhi ya madawati 270 yaliyonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa Shule za Sekondari zilizopo Jimboni kwake ambapo madawati 100 yalikwisha chukuliwa kupelekea jumla ya madawati 300 yenye jumla ya Sh. Mil 60 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akikabidhi madawati na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo na Ufundi Stadi (Veta) , Samuel Ng'andu, Dar es Salaam jana, baada ya mbunge huyo kuamua kununua madawati 270 kwa ajili ya shule za sekondari zilizopo Jimboni kwake akiongozana na...
10 years ago
MichuziMTEMVU ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MVUA TEMEKE
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Abdon Kidege, akimwelekeza jambo Mbunge wa Jimbo hilo Abbas Mtemvu wakati wa ziara ya kutembelea na kuwaona wananchi waliopatwa na mafuriko ya Mvua zinazo endelea kunyesha Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu akizungumza na wananchi walio patwa na mafuriko maeneo ya Wailesi alipo...
10 years ago
Dewji Blog21 Mar
Wajasiriamali wa soko lililoungua Arusha wamshukuru Nyalandu
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akiongea na waandishi wa habari na Wajasiriamali wa soko la vinyago lililoungua moto Mkoani Arusha, mara baada ya kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kupitia Tanapa ili ziweze kusaidia ujenzi wa soko hilo. Makabidhiano hayo yalifanyika jana Mkoani Arusha.
5 years ago
MichuziDc Daqarro awatoa hofu wamachinga kutowaondoa soko lililoungua Samunge
Akiongea na maelfu ya wafanyabiashara hao zaidi ya 5000 Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro ameigiza halmashauri ya jiji la Arusha kuhakikisha wanaharakisha kujenga miundombinu ya soko hilo ili kuwapa nafasi wafanyabiashara kuendelea na shughuli zao.
Ameeleza kuwa hakuna mfanyabiashara...
11 years ago
MichuziWAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA MKUYA ATEMBELEA MANISPAA ZA ILALA, KINONDONI NA TEMEKE KUKAGUA UKUSANYAJI WA KODI
10 years ago
VijimamboABBAS MTEMVU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA WA MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA
10 years ago
GPLABBAS MTEMVU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA