Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA MKUYA ATEMBELEA MANISPAA ZA ILALA, KINONDONI NA TEMEKE KUKAGUA UKUSANYAJI WA KODI

 Na Rose MasakaWAZIRI wa Fedha Bi. Saada Mkuya amefanya ziara yake ya kikazi katika Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam ili  kupata taarifa za makusanyo ya kodi za majengo ikiwa ni eneo moja kati ya maeneo sita ambayo yamepewa kipaumbele katika suala la ukusanyaji wa kodi kama vile eneo la kilimo na miundombinu.

Bi. Saada Mkuya aliahidi kufanya ziara hiyo katika kikao kilichofanyika wiki iliyopita baada ya kurudisha zoezi la ukusanyaji wa kodi za majengo katika Serikali za Mitaa ili kuona...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MIKUTANO YA WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA MKUYA NA KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA WASHINGTON, DC

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa CITI na Mkuu wa Afrika kwa kundi la sekta ya utumishiwa umma Bw. Peter M. Sullivan alipo mtembelea Mhe.Waziri kwa madhumuni ya kuisadia nchi ya Tanzania katika ubalozi wa Marekani mjini Washington DC.Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiwa pamoja na ujumbe kutoka Tanzania walipokutana na Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly walipokuwa wakijadiliana na...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa fedha Mhe.Saada Mkuya Kujibu Hoja za Wabunge jioni ya Leo

   Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mwingulu Nchemba kulia akijadiliana na Maofisa wa Wizara ya Fedha,wakati wakitoka kwenye Ukumbi wa Msekwa walikokuwa na kikao cha kuandaa majibu ya Hoja za Wabunge kwa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014-2015.Baada ya mjadala uliochukuwa takribani wiki nzima.Bajeti ya Serikali Ilisomwa na waziri wa Fedha Alhamisi iliyo[pita na Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya nakufuatiwa na uchangiwaji na mjadala kwa kuchangiwa na Wabunge mbalambali.   Waziri wa Fedha...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. SAADA MKUYA SALUM (MB) ALIYOIWASILISHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri wa Fedha, Mh. Saada Mkuya akiwasilisha makadirio ya matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2015/16 Bungeni mjini Dodoma Juni 7,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA KATIK MKUTANO WA MAJUMUISHO NA IMF, BENKI YA DUNIA WASHINGTON DC MAREKANI

 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya  na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati yao na maafisa waandamizi wa  Shirika la fedha la Kimataifa  (IMF) mjini Washington DC. Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya  akitoa ufafanuzi na majibu kwaswali aliloulizwa na Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly kwenye mkutano wa majumuisho kati yao na maafisa waandamizi wa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na ujumbe wake akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Afrika, uongozi wa mfuko Changamoto za Milenia.

 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya na ujumbe wake  katika majadiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrikca Group 1 constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe(hayupo kwenye picha). kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile akifuatiwa na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Dr. Philip Mpango.Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar Bw. Khamis Mussa na kufuatiwa na Gavana msaidizi wa Benki kuu...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA FEDHA MHE. SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA BI.SAYEH NA VILEVILE AKUTANA NA MCC/CHAMBER OF COMMERCE

 Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya akitoa maelezo ya jinsi Tanzania inavyoboresha uchumi wake kwa Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa (IMF)kwa nchi zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara Bi. Antoinette Sayeh  wa katikati. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha  na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dr. Servacius Likwelile na kushoto ni Gavana wa Benki kuu Prof. Benno Ndulu , akifuatiwa na Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania  Bi. Natu Mwamba. Waziri wa Fedha  Mhe. Saada Salum Mkuya wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Vijimambo

Waziri wa fedha , Bi Saada Mkuya azindua kampeni

Mgombea ubunge jimbo la Welezo, Waziri wa Fedha , Bi Saada mkuya akimwaga sera katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni jimboni. mkutana ulifanyika jana uwanja wa KimaraMeza kuu ikimsikiliza kwa makini mgombea Ubunge wa jimbo la Weleze Bi Saada Mkuya(hayupo pichani) akijinadi na kumwaga sera. Mkutano huu pia ulihudhuriwa na mgombea uwakilishi wa jimbo hilo la Welezo, Hassan Hafidh (wa pili kulia waliokaa)Wanachama na wapenzi wa CCM kutoka jimbo la Welezo waliohudhuria uzinduzi wa Kampeni ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA FEDHA SAADA SALUM MKUYA AKUTANA NA JOLY WA (IMF) NA LAROSE WA (WB)


Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki Bw.Herve’ Joly wa katikati mwenye Tai ya rangi ya chungwa akiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa na ujumbe kutoka Tanzania( hawapokwenyepicha)mjini Washington DC.

Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile wakiwa kwenye mkutano wa majumuisho kati ya Shirika la fedha la Kimataifa mjini Washington DC

Waziri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani