ABBAS MTEMVU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA
 Diwani wa Soko la Tazara Vetenary Zahoro Maganga akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipotembelea maeneo yaliyoharibiwa na mvua akiongozana na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara (TANROADS) jinsi maji yanavyotakiwa kufata mfereji huo ambao haupitishi maji kupeleka katika mfereji huo.   Abbas Mtemvu (kulia) akizungumza na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboABBAS MTEMVU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA WA MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA
10 years ago
Dewji Blog20 May
Mtemvu afanya ziara ya ukaguzi wa maeneo yaliyoharibiwa na mvua jimboni kwake
Diwani wa Soko la Tazara Vetenary Zahoro Maganga akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipotembelea maeneo yaliyoharibiwa na mvua akiongozana na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara (Tanroads) jinsi maji yanavyotakiwa kufata mfereji huo ambao haupitishi maji kupeleka katika mfereji huo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia) akizungumza na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara (Tanroads) katika ziara ya kutembelea...
10 years ago
Michuzi
DKT. SHEIN AFANYA ZIARA MAENEO YALIYOKUMBWA NA MAAFA YA MVUA, ZANZIBAR


5 years ago
MichuziIGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI MKOA WA KIPOLISI ILALA
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akizungumza na Maofisa wa Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika mkoa wa Kipolisi Ilala kwa lengo la kuona utayari wao na namna wanavyotekeleza majukumu yao ya kazi za Kipolisi. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika mkoa wa Kipolisi Ilala kwa lengo la kuona...
10 years ago
Vijimambo
UGENI WA MTEMVU KUTOKA MAREKANI WAFANYA ZIARA YA KIHISTORIA YA MAFUNZO KATIKA MAENEO MBALIMBALI JIMBO LA TEMEKE

5 years ago
Michuzi
IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI KATIKA SHULE YA POLISI MOSHI


10 years ago
VijimamboMhe. Ummy Mwalimu afanya ziara ya ukaguzi wa mazingira katika kiwanda cha OK Plastic
5 years ago
Michuzi
WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAZINGIRA MRADI WA MACHINJIO YA VINGUNGUTI NA ENEO LA KINYEREZI LINALOPITA BOMBA LA GESI.

Waziriwa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu akiwaonyesha wanahabari (Hawapo pichani) bomba la Gesi ya Songas liloangukiwa na mawe kutokana na athari za uchimbaji mchanga katika eneo hilo. Picha Charles Kombe.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. Mussa Zungu (Kulia) akiambatana na Meya wa Manispaa ya Ilala Omari Kumbilamoto (wa pili kushoto) askari wa Ulinzi na viongozi wa ngazi mbalimbali za kiserikali alipofanya ziara...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI ZUNGU AFANYA ZIARA ILALA KUTATUA CHANGAMOTO ZA UCHAFUZI WA MFEREJI WA MAJI YA MVUA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh. Mussa Azzan Zungu akiwa pamoja na Wadau mbalimbali wakikagua mfereji wa kupitisha maji ya mvua uliopo mtaa wa Shaurimoyo katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya mfereji huo wa kupitisha maji ya mvua ukionekana jinsi ulivyoharibika kutokana na kutotunzwa vizuri na Wananchi wa Mtaa wa Shaurimoyo.
************************
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu...