DKT. SHEIN AFANYA ZIARA MAENEO YALIYOKUMBWA NA MAAFA YA MVUA, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na wasaidizi wake alipofika Uwanja wa Farasi na Kwahani Mjini Zanzibar leo wakati alipofanya ziara ya hafla kutembelea wananchi wa sehemu hiyo waliopatwa na maafa ya kuingiliwa na maji ya mvua iliyonyesha juzi na kupelekea maafa yaliyosababisha kukosa makaazi bora.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wa Uwanja wa Farasi na Kwahani Mjini Zanzibar...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
DKT. SHEIN AFANYA ZIARA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME, ZANZIBAR


10 years ago
VijimamboABBAS MTEMVU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA WA MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA
10 years ago
GPLABBAS MTEMVU AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MAENEO YALIYOHARIBIWA NA MVUA
10 years ago
Dewji Blog20 May
Mtemvu afanya ziara ya ukaguzi wa maeneo yaliyoharibiwa na mvua jimboni kwake
Diwani wa Soko la Tazara Vetenary Zahoro Maganga akitoa maelezo kwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipotembelea maeneo yaliyoharibiwa na mvua akiongozana na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara (Tanroads) jinsi maji yanavyotakiwa kufata mfereji huo ambao haupitishi maji kupeleka katika mfereji huo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kulia) akizungumza na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara (Tanroads) katika ziara ya kutembelea...
10 years ago
Michuzi
Dkt. Shein afanya ziara Pemba


10 years ago
MichuziDKT. SHEIN AFANYA UFUNGUZI WA BARABARA UMBUJI,ZANZIBAR
5 years ago
MichuziRais wa Zanzibar Dkt. Shein afanya mazungumzo na Balozi Mdogo wa China
10 years ago
Michuzi
DKT. SHEIN AFANYA UFUNGUZI WA JENGO LA NEUROSUGICAL UNIT UPASUAJI WA UBONGO NA UTIWA MGONGO ZANZIBAR


10 years ago
MichuziDkt. Shein aendelea kukutana na Mabalozi na wenyeviti wa maskani katika mfululizo wa ziara zake za mikutano ya kuimarisha Chama,Zanzibar