Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dkt. Shein afanya ziara Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume katika ziara ya kuzindua miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa kaskazini Pemba. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa majisafi na salama katika kijiji cha Taif wete kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFANYA UZINDUZI WA MRADI WA (HIMA) MAKANGALE, PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa (HIMA) katika hifadhi ya Misitu asili kituo cha Jamii Makangale ndani ya  Msitu wa Ngezi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,(kulia) Balozi wa Norway Trygve Bendiksby.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia)akiuliza suala kwa Afisa wanyamapori Idara ya Misitu salum Khamis (kushoto) wakati alipotembelea maonesho ya...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFANYA ZIARA MAENEO YALIYOKUMBWA NA MAAFA YA MVUA, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na wasaidizi wake alipofika Uwanja wa Farasi na Kwahani Mjini Zanzibar leo wakati alipofanya ziara ya hafla kutembelea wananchi wa sehemu hiyo waliopatwa na maafa ya kuingiliwa na maji ya mvua iliyonyesha juzi na kupelekea maafa yaliyosababisha kukosa makaazi bora.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wa Uwanja wa Farasi na Kwahani Mjini Zanzibar...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFANYA ZIARA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ABEID AMANI KARUME, ZANZIBAR

Mkuu wa Kikoso cha Zimamoto Zanzibar Kamishna Ali Abdalla Maalim Ussi akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea kiyuo cha Zima moato kiliopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipofanya ziara maalum leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mshauri mwelekezi wa kampuni ya adpi ya Ufaransa Guillaume VERNA wakati alipofanya ziara maalum ya...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.(Picha na Ikulu)

 

9 years ago

Michuzi

Rais afanya ziara kisiwani Pemba kutembelea miradi ya Maendeleo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Issa Juma Othman (kulia) na Mkuu wa Wilaya yaMkoani Hemedi Rashid wakati alipotembelea leo miradi ya ujenzi wa Vidaraja (Steps)Kikwajuni Skuli ya Ng’ombeni vilivyojengwa na Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar  ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

10 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA LEO

 Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed  Shein na Mkewe Mama Mwanawema Shein  wakisalimina na Viongozi mbali mbali  alipowasili katika uwanja wa Ndege  wa Karume Pemba leoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwana Mwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Vikosi vya Ulinzi Pemba mara baada ya kuteremka Ndege katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo ( Picha na Ramadhan Othman Ikulu...

 

11 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AFUTARISHA WANANCHI KASKAZINI PEMBA

 Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) akiwakaribisha Mashekhe katika futari  aliyoiandaa kwa Wananchi  waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba huko Viwanja vya Ikulu ya Wete jana.  Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijumuika kwa pamoja katika futari iliyoandaliwa na Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,kwa wananchi hao katika viwanja vya...

 

11 years ago

Michuzi

DKT SHEIN AZINDUA BARABARA PEMBA LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,wakikata utepe  kuzindua barabara  5 za mradi zikiwa ni Kipangani-Kangani,Chwale –Likoni,Mzambrauni Takao-Pandani,Finya-Mzambarauni,Karimu-Finya-Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe,Mkoa wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani