Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC.DAQARRO APINGA MACHINGA KUTOZWA FEDHA SOKO LA MADINI ASEMA MAAGIZO YA RAIS YAFUATWE


Mkuu wa wilaya ya Arusha mjini Gabriel Daqarro akiwa na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt.Maulid Madeni wakiongea na waandishi wa habari ofisini kwake ambapo ametaka wamachinga wasibughuziwe wa kutozwa michango ndani ya Jiji hilo picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.
Pichani ni sehemu ya risiti zisizo za Efds ambazo wamachinga kwenye Soko la madini jijini Arusha wamekuwa wakitozwa kiasi cha tsh.300 kwa siku kupata huduma sokoni humo huku wakiwa na vitambulisho vya machinga
Mkuu wa soko la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Dc Daqarro awatoa hofu wamachinga kutowaondoa soko lililoungua Samunge

Na Ahmed Mahmoud,ArushaSerikali imewahakikishia wamachinga kuendelea kufanyabiashara kwenye soko la Samunge lililoungua moto na kuwaondolea hofu iliyojengeka kwamba ina mpango wa kuwaondoa katika soko hilo.

Akiongea na maelfu ya wafanyabiashara hao zaidi ya 5000 Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro ameigiza halmashauri ya jiji la Arusha kuhakikisha wanaharakisha kujenga miundombinu ya soko hilo ili kuwapa nafasi wafanyabiashara kuendelea na shughuli zao.
Ameeleza kuwa hakuna mfanyabiashara...

 

5 years ago

Michuzi

Kamati ya Nishati na Madini yapongeza Soko la Madini Dar


Fundi Sanifu Madini kutoka Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Marko Massaba (katikati) akihakiki madini yaliyopokelewa kutoka mikoani kwenye soko hilo mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini.
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula (kushoto) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kulia) kwenye Soko la Kimataifa la Madini la Dar es Salaam wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kwenye...

 

11 years ago

Habarileo

‘Soko la Mchikichini livunjwe kuiokoa Machinga Complex’

BAADA ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, kubainisha upungufu uliopo katika Soko la Machinga Complex Ilala jijini Dar es Salaam ikiwemo soko hilo kujiendesha kwa hasara, baadhi ya wabunge wameshauri Serikali iangalie uwezekano wa kuvunja Soko la Mchikichini lililopo jirani.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mkurugenzi apinga kurejesha fedha


Na Chibura Makorongo, Itilima
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi, Abdallah Malela, amepinga agizo la kurejesha fedha za halmshauri mpya ya Itilima zilizotolewa na Hazina.
Pia anadaiwa kuwatimua ofisini kwake madiwani wa Itilima waliokwenda kudai fedha hizo.
Kauli hiyo ilitolewa katika baraza la madiwani wa halmashauri ya Itilima na Makamu Mwenyekiti wa Halmshauri, Khamis Mughata, ambaye alisema kamati yake ilishindwa kudai fedha hizo kutokana na mkurugenzi huyo kuwafukuza...

 

11 years ago

Mwananchi

Moloimet apinga uteuzi waziri wa fedha

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Monduli na Mkuu wa wilaya kadhaa nchini, Lepilel Ole Moloimet, amesema hajaridhishwa na kitendo cha mwanamke kuteuliwa kuwa Waziri wa Fedha.

 

10 years ago

Dewji Blog

TBL yatoa sh. mil 18 za kusaidia ukarabati wa miundombinu iliyoharibika soko la Machinga Ilala, Dar

01

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi hundi yenye thamani ya sh. mil. 18.9, kwa  Mkurugenzi wa Kampuni ya Gotam General Traders, Winner Taluka (wa pili kushoto)  kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa miundombinu ya maji iliyoharibika baada ya Soko la Mchikichini Ilala  kuteketea kwa moto. Wanaoshuhudia hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana, kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa soko hilo, Rehema Matali,  Mjumbe wa Kamati ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mnyika: JK aweke hadharani fedha za masoko ya Machinga

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, amemtaka Rais Jakaya Kikwete aweke hadharani fedha alizosema zimetengwa kwa ajili ya kujengea masoko ya kisasa ya machinga kila Wilaya Mkoa wa Dar es Salaam,...

 

9 years ago

Press

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ametoa Maagizo Kwa Tume ya Mipango

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango ameiagiza Tume ya Mipango kufanya utafiti kuhusu mapato ya Serikali na namna ya kuongeza wigo wa ukusanyaji mapato.

SONY DSC

SONY DSC

Baadhi ya wafanyakazi wa Tume ya Mipango wakimpokea Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango alipowatembelea kwa lengo la kuwaaga.

Amesema Tume ya Mipango kama chombo cha ushauri kwa Serikali kuhusu mipango na uchumi wa nchi, ni lazima ifanye utafiti juu ya ufanisi wa ukusanyaji wa mapato na kuongeza vyanzo wa kukusanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani