PROFESA MUHONGO AWATOA HOFU WACHIMBAJI WADOGO
![](http://2.bp.blogspot.com/-j8m7ynz2joY/Vn7hPTkq8_I/AAAAAAAIOzs/ZgRZvqXWuJA/s72-c/15fd2ed0-21e0-4d6c-8b3f-83bc9dbc024e.jpg)
Serikali imedhamiria kuwaendeleza wachimbaji wadogo wa madini nchini ili kukuza uchumi wa Taifa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kwenye kikao chake na wachimbaji wadogo wa madini kutoka mikoa ya Simiyu na Mara. Profesa Muhongo alisema sekta ndogo ya madini nchini inao mchango mkubwa kwenye pato la Taifa wa kuondoa umasikini nchini na hivyo Serikali kwa jitihada mbalimbali itahakikisha wachimbaji wadogo wananufaika ipasavyo pamoja na kuchangia ukuaji wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0AEqUsFVPPk/U2rqs0siQdI/AAAAAAAA-bE/-F-_grJSfUQ/s72-c/magori.jpg)
NSSF YATOA SEMINA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA WAMADINI-MWANZA
11 years ago
Dewji Blog09 Apr
Pinda akabidhi fedha za ruzuku kwa wachimbaji wadogo wadogo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa wachimbaji madini wadogowadogo waliopatiwa ruzuku na serikali kupitia Benki ya TIB. Hafla ya kukabidhi hundi hizo ilifnyika kwenye Chuo cha Madini cha Dodoma Aprili 9, 2014. Kushoto ni Waziri wa Nisahati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Masele na Kulia ni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
BENKI YA DUNIA YAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKABIDHI FEDHA ZA RUZUKU KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO,MJINI DODOMA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Ee4UN2FQfqI/U4zh-ak4jZI/AAAAAAACiuI/7sm-9MOdgkY/s72-c/14.jpg)
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,KINANA NDANI YA MERERANI,AKUTANA NA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO WA MADINI NA KUSIKILZA CHANGAMOTO ZAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ee4UN2FQfqI/U4zh-ak4jZI/AAAAAAACiuI/7sm-9MOdgkY/s1600/14.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wB0YfRykrlY/U4zh8Mu5WeI/AAAAAAACiuA/NRC90O9WADA/s1600/15.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cF3RV8e731I/U4ziDniQBdI/AAAAAAACiuY/dxqyoJHfn2c/s1600/17.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QzoJp-vawTA/VYW5NZiC6VI/AAAAAAAC7Mk/xxX2Ib6CDYo/s72-c/5.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA ATEMBELEA MGODI WA MGUSU ULIOKABIDHIWA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-QzoJp-vawTA/VYW5NZiC6VI/AAAAAAAC7Mk/xxX2Ib6CDYo/s640/5.jpg)
Katibu Mkuu wa CCM Ndug Kinana leo amehitimisha ziara yake ndani ya mkoa wa Geita kwa kutembea kilometa 1680 kwa Gari,ametembelea Majimbo sita na Wilaya zake sita,huku akiwa amehutubia mikutano 78,mikutano 72 ya hadhara na mikutano 6 ya ndania.Ndugu Kinana ametembelea miradi 53 ya Maendeleo,miradi mitano ya CCM.Kama...
10 years ago
Michuzi15 Sep
BENKI YA DUNIA NA SERIKALI IKISHIRIKIANA NA WAWEKEZAJI WAKUBWA WA MADINI WAZINDUA MRADI WA UCHIMBAJI MADINI KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Lubuva awatoa hofu wapigakura
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Phiri awatoa hofu Simba