Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mourinho apewa adhabu kukosa mechi moja

Shirikisho la soka barani Ulaya, limempa adhabu Meneja wa Chelsea Mourinho ya kuikosa mechi moja na kutakiwa kulipa faini ya pauni elfu 40 za uingereza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Gabriel apewa marufuku ya mechi moja

Beki wa Arsenal Gabriel Paulista amepewa marufuku ya mechi moja na kupigwa faini ya pauni 10,000 baada ya kukiri shtaka la shirikisho la soka nchini Uingereza FA la utovu wa nidhamu.

 

9 years ago

Bongo5

Mourinho afungiwa mechi moja na kutozwa faini ya pound 40,000

2E07D6C000000578-0-image-a-12_1446460168025

Shirikisho la soka Uingereza FA limempa adhabu meneja wa Chelsea, Jose Mourinho baada ya kupatikana na hatia ya kosa la utovu wa nidhamu.

2E07D6C000000578-0-image-a-12_1446460168025

Kocha huyo amefungiwa mechi moja na FA na kutozwa faini ya pound 40,000 kwa kosa alilofanya katika mechi aliyopoteza dhidi ya West Ham United.

Kosa hilo linakuja kutokana na Mourinho kukiri kosa la kutumia lugha isiyokubalika walipo fungwa na West Ham tarehe 24 mwezi uliopita. Sasa ataikosa mechi ya Ligi jumamosi labda labda akikata rufaa.

Wiki hii...

 

9 years ago

Bongo5

FA yampa adhabu Jose Mourinho

Chama cha soka cha England FA, kimempa adhabu meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho kutokana na utovu wa nidhamu. Mourinho amefungiwa mechi moja na kupigwa faini ya pauni 50,000 kwa maoni yake dhidi ya maafisa wa mechi. Mourinho alidai kuwa maafisa walikuwa waoga kuipa timu yake penati baada ya Robert Madley kuikatalia penati Chelsea […]

 

9 years ago

Mwananchi

Adhabu ya Costa yamkera Mourinho

Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amekerwa na uamuzi wa Chama cha Soka England (FA) kumfungia mechi tatu mshambuliaji wake, Diego Costa akisema utaiumiza klabu yake.

 

9 years ago

Mwananchi

Mourinho apewa dakika 90 za Liverpool

Wamiliki wa klabu ya Chelsea wanaelekea kumchoka kocha Jose Mourinho kiasi cha kumpa mechi moja, sawa na dakika 90 dhidi ya Liverpool, Jumamosi kulinda kibarua chake.

 

9 years ago

BBCSwahili

RIPOTI ZA MOJA KWA MOJA ZA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA

Idhaa yako ya bbcswahili inakuletea ripoti za moja kwa moja za mechi za ligi kuu ya Uingereza Wkiendi hii

 

9 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA: MECHI ZA EPL JUMAMOSI

Klabu ya Chelsea leo imo ugenini West Ham ikijaribu kufufua kampeni yake Ligi ya Premia msimu huu baada ya kuandikisha matokeo yasiyo ya kuridhisha tangu mwanzo wa msimu.

 

9 years ago

BBCSwahili

MOJA KWA MOJA EPL: MECHI ZA JUMAMOSI

Chelsea leo wako nyumbani dhidi ya Liverpool katika Ligi ya Premia kwenye mechi ambayo wengi wanaamini huenda ikaamua hatima ya Meneja wa Chelsea Jose Mourinho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani