Mourinho afungiwa mechi moja na kutozwa faini ya pound 40,000
Shirikisho la soka Uingereza FA limempa adhabu meneja wa Chelsea, Jose Mourinho baada ya kupatikana na hatia ya kosa la utovu wa nidhamu.
Kocha huyo amefungiwa mechi moja na FA na kutozwa faini ya pound 40,000 kwa kosa alilofanya katika mechi aliyopoteza dhidi ya West Ham United.
Kosa hilo linakuja kutokana na Mourinho kukiri kosa la kutumia lugha isiyokubalika walipo fungwa na West Ham tarehe 24 mwezi uliopita. Sasa ataikosa mechi ya Ligi jumamosi labda labda akikata rufaa.
Wiki hii...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Oct
Mdomo wamponza Mourinho afungiwa, kupigwa faini
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Kangezi afungiwa miezi sita, faini Sh200,000
9 years ago
BBCSwahili03 Nov
Mourinho apewa adhabu kukosa mechi moja
11 years ago
Habarileo18 Dec
Abiria wa basi atakayesimama kutozwa faini
POLISI Kikosi cha Usalama Barabarani, inaandaa sheria itakayosaidia kudhibiti ujazaji wa watu kwenye magari ya abiria, ambayo abiria atakayekutwa amesimama, atatozwa faini.
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Watakaochakachua mbolea kutozwa faini sh. mil. 500
NA SELINA WILSON,DODOMA
SERIKALI inakusudia kuongeza viwango vya adhabu ya faini kwa watakaochakachua mbolea kwa kuwatoza faini ya kati ya sh. milioni 100 na sh. milioni 500.
Pamoja na faini hiyo, mbolea itakayobainika kuchakuliwa na kuwa chini ya kiwango itateketezwa baada ya wakaguzi kuthibitisha kwamba imechakachuliwa.
Hayo yamo katika muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mbolea sura namba 378 uliowasilishwa bungeni Jumatano wiki hii na kusomwa kwa mara ya kwanza.
Kwa mujibu wa muswada huo,...
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Balotelli afungiwa mchezo mmoja na faini
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Wasiobadilisha leseni za biashara kutozwa dola 5,000
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema wanachama ambao hawajabadilisha leseni za biashara ifikapo Machi 16, mwaka huu watapigwa faini ya dola 5,000. Kamishna wa Forodha na Ushuru wa mamlaka hiyo,...
9 years ago
BBCSwahili15 Oct
FA yamtoza faini Mourinho
9 years ago
BBCSwahili16 Oct
Faini ya FA ni fedheha asema Mourinho