Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FA yamtoza faini Mourinho

Chama cha soka cha England FA, kimempa adhabu Meneja wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Faini ya FA ni fedheha asema Mourinho

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho amesema Faini ya Pauni 50,000 aliyotozwa na chama cha soka cha England (FA) ni fedheha

 

9 years ago

Mwananchi

Mdomo wamponza Mourinho afungiwa, kupigwa faini

Klabu ya Chelsea na kocha wake, Jose Mourinho wamepinga uamuzi wa Chama cha Soka (FA) kumwadhibu kocha huyo kwa kauli alizozitoa karibuni.

 

9 years ago

Bongo5

Mourinho afungiwa mechi moja na kutozwa faini ya pound 40,000

2E07D6C000000578-0-image-a-12_1446460168025

Shirikisho la soka Uingereza FA limempa adhabu meneja wa Chelsea, Jose Mourinho baada ya kupatikana na hatia ya kosa la utovu wa nidhamu.

2E07D6C000000578-0-image-a-12_1446460168025

Kocha huyo amefungiwa mechi moja na FA na kutozwa faini ya pound 40,000 kwa kosa alilofanya katika mechi aliyopoteza dhidi ya West Ham United.

Kosa hilo linakuja kutokana na Mourinho kukiri kosa la kutumia lugha isiyokubalika walipo fungwa na West Ham tarehe 24 mwezi uliopita. Sasa ataikosa mechi ya Ligi jumamosi labda labda akikata rufaa.

Wiki hii...

 

9 years ago

Habarileo

Kampuni za simu zatozwa faini

NAIBU Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde amebaini kuwepo kwa wafanyakazi wa kigeni, walioletwa na kampuni za simu za mkononi kufanya kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania ikiwemo kufunga meza na viti vya kukalia.

 

10 years ago

GPL

AFUMANIWA AJIPIGA FAINI MIL. 3

Mwandishi Wetu
WE acha tu! Hii ni habari ya kushangaza sana ambayo ilinaswa na paparazi wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers juzikati ambapo mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ally Mwamwanza ambaye ni afisa katika kitengo cha ‘makontena’ bandarini Dar, kudaiwa kunaswa na mke wa jirani yake, Gibson Mtinge aliyetajwa kwa jina moja la Khadija. Licha ya wote wawili kuishi Mbezi ya Kimara,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Darron Gibson apigwa faini

Mchezaji wa Everton ambaye ni raia wa Jamhuri ya Ireland nyota wa kabumbu Darron Gibson, amepigwa faini kwa kusababisha ajali .

 

9 years ago

Habarileo

Ukichafua Sumbawanga faini elfu 50/-

HALMASHAURI ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa imeonya kuwa itatoza faini ya Sh 50,000 kwa wakazi wa mjini Sumbawanga watakaobainika kutiririsha maji machafu ili kuhakikisha manispaa hiyo inabaki kuwa safi na salama.

 

9 years ago

BBCSwahili

Faini barabarani kulipwa kidijitali TZ

Polisi Tanzania wameleta mfumo utakaowezesha wanaopatikana na makosa ya trafiki kulipa faini mara moja kwa njia ya kielektroniki.

 

10 years ago

Habarileo

Faini barabarani zaingiza mabilioni

OPERESHENI ya kukamata madereva wanaofanya makosa ya barabarani, inayoendana na utozaji wa faini nchini, imeliingizia Jeshi la Polisi mabilioni ya shilingi. Akizungumza na gazeti hili juzi, Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, alisema mapato yatokanayo na makosa hayo yaliyokusanywa kwa miezi sita mwaka huu, yamezidi makusanyo yote yaliyofanyika mwaka jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani