Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni za simu zatozwa faini

NAIBU Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde amebaini kuwepo kwa wafanyakazi wa kigeni, walioletwa na kampuni za simu za mkononi kufanya kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania ikiwemo kufunga meza na viti vya kukalia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kampuni 5 za simu zatozwa faini ya milioni 125/

MAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA) imezitoza faini kampuni tano za simu za mkononi nchini, kwa kushindwa kutekeleza wajibu wao wa kuhakikisha uwepo wa usalama wa kiufundi na kisheria kwenye masuala ya taarifa zinazopitia kwenye mitandao yao. Kampuni hizo kila moja imetozwa faini ya Sh milioni 25.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA

  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phanton 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. Uzinduzi wa simu hiyo toleo jipya ukiendelea.

 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana  (kulia), akiwagawia zawadi ya simu hiyo baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali. Wanahabari wakipokea zawadi ya simu hiyo ya kisasa toleo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Simu ya Tigo, Huawei wazindua simu ya watu wa hali ya chini jijini Dar

1

Meneja wa Vifaa vya Huawei,  Peter Zhang Nchini (kulia), akionesha aina ya simu ya Huawei Y 360 na Y 625 ambazo zina uwezo wa hali ya juu katika matumizi ya nyanja mbalimbali wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam katika uzinduzi wa simu hizo. Kushoto ni Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga.

2 (1)

Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga, akizungumza katika mkutano huo.

IMG_8227

Wanahabri kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa ya uzinduzi...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO, HUAWEI WAZINDUA SIMU YA WATU WA HALI YA CHINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Meneja wa Vifaa vya Huawei,  Peter Zhang Nchini (kulia), akionesha aina ya simu ya Huawei Y 360 na Y 625 ambazo zina uwezo wa hali ya juu katika matumizi ya nyanja mbalimbali wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi katika uzinduzi wa simu hizo. Kushoto ni Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga. Meneja wa Vifaa na Intaneti kutoka Tigo, Mkumbo Myonga, akizungumza katika mkutano huo.Wanahabri kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa ya uzinduzi...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO

Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Dk.Binilith Mahenge (kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha oparesheni  cha Kampuni ya MagilaTech, iliyotengeneza teknolojia ya tigo backup inayowezesha kurejesha kumbukumbu na kuzuia wizi wa simu za mkononi Dar es Salaam leo. Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye uzinduzi huo.Ofisa Mtendaji Mkuu wa DTBi, Mhandisi George Mulamula (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo.

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kulia), akitoa hutuba...

 

9 years ago

Global Publishers

Makampuni ya Simu za Mkononi Yapigwa Faini ya Sh. Mil 25

TCRA (1)Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya  Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na makampuni ya simu  za mkononi ya Tigo, Airtel, Halotel na Zantel na Smart kwa kuto kukidhi vigezo. Pia amesema kuwa Makampuni hayo yamepigwa faini ya shilingi milioni 25 kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania kabla ya Januari 29 mwakani.
TCRA (3)Mwanasheria wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Elizabeth Zagi akifafanua jambo mbele ya waandishi wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Nigeria yaipunguzia faini kampuni ya MTN

Nigeria imepunguzia faini kubwa ambayo ilikuwa imeipiga kampuni kubwa zaidi ya simu za mkononi barani Afrika MTN

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU ICHUNGUZENI KAMPUNI INAYOCHUKUA MAPATO YA FAINI ZA MAROLI- RC MAKONDA

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda (kushoto) akizungumza na watendaji wote wa Barabara katika ukumbi wa Anatoglo Mnazi Mmoja leo jijini Dar es Salaam,ampoa  Makonda aliitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuchungunguza Kampuni inayochukua  mapato ya faini  za Maroli na kulipa fedha zote ilizokusanya tangu mwaka juzi.  Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto (kushoto) akizungumza na watendaji wote wa Barabara katika ukumbi wa Anatoglo Mnazi Mmoja leo...

 

11 years ago

Habarileo

Kampuni za simu kubanwa

Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi mtambo wa usimamizi wa ufuatiliaji mawasiliano ya simu nchini (TTMS) katika sherehe iliyofanyika Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Mecki Sadiki. (Picha na Mohamed Mambo).KAMPUNI za simu nchini zitaanza kufuatiliwa na mtambo maalumu ili kubaini kila senti zinazoingiza na kuwezesha Serikali kupata kodi yake kikamilifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani