Makampuni ya Simu za Mkononi Yapigwa Faini ya Sh. Mil 25
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na makampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Airtel, Halotel na Zantel na Smart kwa kuto kukidhi vigezo. Pia amesema kuwa Makampuni hayo yamepigwa faini ya shilingi milioni 25 kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania kabla ya Januari 29 mwakani.
Mwanasheria wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Elizabeth Zagi akifafanua jambo mbele ya waandishi wa...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo05 Aug
Hakimu aliyekula rushwa ya mil 2/- ahukumiwa faini mil 1.5/-
ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.
11 years ago
Habarileo05 Aug
Hakimu aliyekula rushwa mil 2/- atozwa faini mil 1.5/-
ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
BBCSwahili12 Dec
Twitter yapigwa faini na serikali Uturuki
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Tigo yapigwa faini kwa uzembe
Meneja Mkuu wa Tigo, Deigo Gutierrez
Na mwandishi Wetu
KAMPUNI ya MIC Tanzania Limited (Tigo) chini ya mkurugenzi wake, Diego Gutierrez imepigwa faini ya Sh. Milioni 25 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kosa la kushindwa kudhibiti utumaji wa ujumbe wa ulaghai na udanganyifu kwa wateja wake.
Taarifa ya faini hiyo ilitolewa hivi karibuni jijini Dar na Mkurugenzi wa TCRA, Dk. Ally Simba ambapo alisema kampuni hiyo na makampuni mengine ya simu, yameshindwa kudhibiti utumaji wa...
10 years ago
MichuziKAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8
10 years ago
Michuzi
SIMBA YAPIGWA FAINI YA MILIONI 3/- KWA KUTOVAA JEZI ZENYE NEMBO YA MDHAMINI

Mechi hiyo namba 50 ya Ligi Kuu ya Vodacom ilichezwa Desemba 26 mwaka jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 13(7) ya Ligi Kuu inayotaka klabu kuheshimu masharti ya udhamini wa Ligi Kuu kwenye mechi zake.
Nayo Polisi...
10 years ago
GPL
AFUMANIWA AJIPIGA FAINI MIL. 3
9 years ago
Bongo531 Dec
TCRA yayashushia nyundo makampuni matano ya simu

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa kampuni za simu za mkononi Tanzania kulipa shilingi milioni 25 kwa mamlaka hiyo kama adhabu ya kushindwa kusimamia usalama wa watumiaji wa huduma za Mawasiliano.
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Ally Y. Simba
Hii ni taarifa kamili:
1. Katika shughuli zake za udhibiti wa huduma za mawasiliano nchini, Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania imepokea malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano dhidi ya kuwepo mazingira yasiyo salama...