Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hakimu aliyekula rushwa mil 2/- atozwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa ya mil 2/- ahukumiwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

10 years ago

GPL

AFUMANIWA AJIPIGA FAINI MIL. 3

Mwandishi Wetu
WE acha tu! Hii ni habari ya kushangaza sana ambayo ilinaswa na paparazi wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers juzikati ambapo mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ally Mwamwanza ambaye ni afisa katika kitengo cha ‘makontena’ bandarini Dar, kudaiwa kunaswa na mke wa jirani yake, Gibson Mtinge aliyetajwa kwa jina moja la Khadija. Licha ya wote wawili kuishi Mbezi ya Kimara,...

 

9 years ago

Habarileo

Wachapwa faini ya mil 60/- kwa kudharau mamlaka

NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde amevitoza faini ya zaidi ya Sh milioni 60 viwanda viwili vya Lodhia Plastic Industries Limited na Sunflag (T) Ltd kwa kukiuka taratibu za kazi na kudharau mamlaka ya usalama mahali pa kazi (Osha).

 

10 years ago

Habarileo

Faini Dar zaingizia serikali mil 336/-

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kupitia kikosi chake cha usalama barabarani wamekusanya zaidi ya Sh milioni 336 kama tozo kwa makosa mbalimbali ya kukiuka sheria za usalama barabarani.

 

9 years ago

Global Publishers

Makampuni ya Simu za Mkononi Yapigwa Faini ya Sh. Mil 25

TCRA (1)Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya  Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na makampuni ya simu  za mkononi ya Tigo, Airtel, Halotel na Zantel na Smart kwa kuto kukidhi vigezo. Pia amesema kuwa Makampuni hayo yamepigwa faini ya shilingi milioni 25 kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania kabla ya Januari 29 mwakani.
TCRA (3)Mwanasheria wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Elizabeth Zagi akifafanua jambo mbele ya waandishi wa...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Watakaochakachua mbolea kutozwa faini sh. mil. 500


NA SELINA WILSON,DODOMA
SERIKALI inakusudia kuongeza viwango vya adhabu ya faini kwa watakaochakachua mbolea kwa kuwatoza faini ya kati ya sh. milioni 100 na sh. milioni 500.
Pamoja na faini hiyo, mbolea itakayobainika kuchakuliwa na kuwa chini ya kiwango itateketezwa baada ya wakaguzi kuthibitisha kwamba imechakachuliwa.
Hayo yamo katika muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mbolea sura namba 378  uliowasilishwa bungeni Jumatano wiki hii na kusomwa kwa mara ya kwanza.
Kwa mujibu wa muswada huo,...

 

10 years ago

Habarileo

Wapigwa faini mil.137/- kwa kuvusha magendo

MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) mkoani Mara, imewapiga faini ya Sh milioni 137 wafanyabiashara walioingiza nchini mali kinyemela kutoka nchini jirani ya Kenya.

 

10 years ago

Habarileo

Wanaouza silaha feki kufungwa miaka 5, kupigwa faini mil.10/-

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.MTU yeyote atakayepatikana akiingiza au kuuza silaha za bandia, atahukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini isiyozidi Sh milioni 10. Adhabu hiyo imetajwa na Muswada wa Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa mwaka 2014.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani