Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapigwa faini mil.137/- kwa kuvusha magendo

MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) mkoani Mara, imewapiga faini ya Sh milioni 137 wafanyabiashara walioingiza nchini mali kinyemela kutoka nchini jirani ya Kenya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TRA YAKUSANYA ZAIDI YA SH.BILIONI 258 KWA FAINI NA KODI ZA BIDHAA ZA MAGENDO

Na Avila Kakingo,Globu ya jamii
MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA), kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita imekusanya zaidi ya Sh. Bilioni 258 zilizotokana na faini ya bidhaa mbalimbali za magendo.
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es salaam,amesema TRA inaungana na jeshi la Polisi katika kukamata watu wanaojihusisha na usafirishaji na uuzaji wa ...

 

9 years ago

Habarileo

Wachapwa faini ya mil 60/- kwa kudharau mamlaka

NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde amevitoza faini ya zaidi ya Sh milioni 60 viwanda viwili vya Lodhia Plastic Industries Limited na Sunflag (T) Ltd kwa kukiuka taratibu za kazi na kudharau mamlaka ya usalama mahali pa kazi (Osha).

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa ya mil 2/- ahukumiwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

11 years ago

Habarileo

Hakimu aliyekula rushwa mil 2/- atozwa faini mil 1.5/-

ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.

 

10 years ago

Habarileo

Bidhaa za magendo zaipatia TRA mil 258/-

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya kodi na faini ya jumla ya Sh milioni 258.5 kutokana na bidhaa mbalimbali za magendo zilizokamatwa katika kipindi cha Februari na Machi mwaka huu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Times FM wapigwa faini ya milioni moja

KITUO cha Redio Times FM,kimetakiwa kulipa faini ya shilingi milioni moja baada ya kukiuka sheria ya utangazaji kwa kurusha vipindi vya ngono muda ambao haurusiwi. Hukumu hiyo ilitolewa jana jijini...

 

10 years ago

GPL

AFUMANIWA AJIPIGA FAINI MIL. 3

Mwandishi Wetu
WE acha tu! Hii ni habari ya kushangaza sana ambayo ilinaswa na paparazi wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers juzikati ambapo mwanaume aliyefahamika kwa jina la Ally Mwamwanza ambaye ni afisa katika kitengo cha ‘makontena’ bandarini Dar, kudaiwa kunaswa na mke wa jirani yake, Gibson Mtinge aliyetajwa kwa jina moja la Khadija. Licha ya wote wawili kuishi Mbezi ya Kimara,...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Watakaochakachua mbolea kutozwa faini sh. mil. 500


NA SELINA WILSON,DODOMA
SERIKALI inakusudia kuongeza viwango vya adhabu ya faini kwa watakaochakachua mbolea kwa kuwatoza faini ya kati ya sh. milioni 100 na sh. milioni 500.
Pamoja na faini hiyo, mbolea itakayobainika kuchakuliwa na kuwa chini ya kiwango itateketezwa baada ya wakaguzi kuthibitisha kwamba imechakachuliwa.
Hayo yamo katika muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mbolea sura namba 378  uliowasilishwa bungeni Jumatano wiki hii na kusomwa kwa mara ya kwanza.
Kwa mujibu wa muswada huo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani