Watakaochakachua mbolea kutozwa faini sh. mil. 500
NA SELINA WILSON,DODOMA
SERIKALI inakusudia kuongeza viwango vya adhabu ya faini kwa watakaochakachua mbolea kwa kuwatoza faini ya kati ya sh. milioni 100 na sh. milioni 500.
Pamoja na faini hiyo, mbolea itakayobainika kuchakuliwa na kuwa chini ya kiwango itateketezwa baada ya wakaguzi kuthibitisha kwamba imechakachuliwa.
Hayo yamo katika muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mbolea sura namba 378 uliowasilishwa bungeni Jumatano wiki hii na kusomwa kwa mara ya kwanza.
Kwa mujibu wa muswada huo,...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Dec
Abiria wa basi atakayesimama kutozwa faini
POLISI Kikosi cha Usalama Barabarani, inaandaa sheria itakayosaidia kudhibiti ujazaji wa watu kwenye magari ya abiria, ambayo abiria atakayekutwa amesimama, atatozwa faini.
9 years ago
Bongo503 Nov
Mourinho afungiwa mechi moja na kutozwa faini ya pound 40,000
![2E07D6C000000578-0-image-a-12_1446460168025](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2E07D6C000000578-0-image-a-12_1446460168025-300x194.jpg)
Shirikisho la soka Uingereza FA limempa adhabu meneja wa Chelsea, Jose Mourinho baada ya kupatikana na hatia ya kosa la utovu wa nidhamu.
Kocha huyo amefungiwa mechi moja na FA na kutozwa faini ya pound 40,000 kwa kosa alilofanya katika mechi aliyopoteza dhidi ya West Ham United.
Kosa hilo linakuja kutokana na Mourinho kukiri kosa la kutumia lugha isiyokubalika walipo fungwa na West Ham tarehe 24 mwezi uliopita. Sasa ataikosa mechi ya Ligi jumamosi labda labda akikata rufaa.
Wiki hii...
11 years ago
Habarileo05 Aug
Hakimu aliyekula rushwa ya mil 2/- ahukumiwa faini mil 1.5/-
ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.
11 years ago
Habarileo05 Aug
Hakimu aliyekula rushwa mil 2/- atozwa faini mil 1.5/-
ALIYEKUWA Hakimu Mkazi Mahakama Wilaya ya Urambo, Oscar Bulugu, amekutwa na hatia ya kuomba na kupokea rushwa ya Sh milioni 2.
11 years ago
Habarileo25 Jul
Viwanda 3 kutozwa mil 90/- kwa kuvuruga mazingira
VIWANDA vitatu vinakabiliwa na adhabu ya faini ya Sh milioni 90 kutokana na kushindwa kutimiza masharti ya kuhifadhi mazingira katika uendeshaji wake.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Whu7RSvDwY3437XSK8V6HaCXmO11F9-OSnjq-mN**QYT9*VXkNDiMGWnOsRHeXdp15PZq6k-ICeVe8mOpRgWi-ZI3Au-pfl*/TAMBWE.jpg?width=650)
Tambwe apigwa faini Sh 500,000
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pBrEDFyKDmMMVmkdun5Oe0atQe87OMbumH2s9ZMkt8LmMUctv4wPFZdgveHAXkv*5anmdxLtedkH8*qrsktfpuEr1vXofpFi/Front.jpg?width=650)
AFUMANIWA AJIPIGA FAINI MIL. 3
9 years ago
Habarileo05 Jan
Wachapwa faini ya mil 60/- kwa kudharau mamlaka
NAIBU Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde amevitoza faini ya zaidi ya Sh milioni 60 viwanda viwili vya Lodhia Plastic Industries Limited na Sunflag (T) Ltd kwa kukiuka taratibu za kazi na kudharau mamlaka ya usalama mahali pa kazi (Osha).
10 years ago
Habarileo18 Oct
Faini Dar zaingizia serikali mil 336/-
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kupitia kikosi chake cha usalama barabarani wamekusanya zaidi ya Sh milioni 336 kama tozo kwa makosa mbalimbali ya kukiuka sheria za usalama barabarani.