Tambwe apigwa faini Sh 500,000
![](http://api.ning.com:80/files/Whu7RSvDwY3437XSK8V6HaCXmO11F9-OSnjq-mN**QYT9*VXkNDiMGWnOsRHeXdp15PZq6k-ICeVe8mOpRgWi-ZI3Au-pfl*/TAMBWE.jpg?width=650)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe. Omary Mdose na Martha Mboma MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe, amepigwa faini ya Sh laki tano kwa kosa la kushangilia bao huku akionyesha kidole katika mchezo wao dhidi ya Mbeya City lakini klabu yake imepigwa faini ya Sh milioni moja baada ya makocha wake kuingia uwanjani na kuwazonga waamuzi katika mechi hiyo pamoja na kuwepo kwa vitendo vilivyoashiria...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-9EIKfpZt6jc/XrqNTPHVgqI/AAAAAAALp7E/6r-ivb2RzjoO0bkBC8qGcoMp0s24TxnUwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
WAFANYABIASHARA WANNE JIJINI DAR WAHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITATU AU KULIPA FAINI YA 500,000/- KILA MMOJA
![](https://1.bp.blogspot.com/-9EIKfpZt6jc/XrqNTPHVgqI/AAAAAAALp7E/6r-ivb2RzjoO0bkBC8qGcoMp0s24TxnUwCLcBGAsYHQ/s320/index.jpg)
MAHAKAMA ya Hakimu Kisutu imewahukumu wafanyabiashara wanne wakazi wa Dar es Salaam kulipa faini ya shilingi 500,000 kila mmoja ama kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kukutwa na madini tofauti tofauti yenye uzito gram 131 yenye thamani ya zaidi shilingi milioni 100 kinyume na sheria.
Wafanyabiashara hao Noah Mmasanga, Richard Boniface, Ally Said na Mosses Mbojo ambapo wamehukumiwa kulipa faini hiyo baada ya kufika makubaliano na Mkurugenzi wa...
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
9 years ago
BBCSwahili19 Aug
Darron Gibson apigwa faini
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Apigwa faini kwa kumdhalilisha refa
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-NeGjRZbX06M/VUyMmNZORzI/AAAAAAABN5I/T7_i7-KVcfc/s72-c/DSC03160.jpg)
JERRY MURO APIGWA FAINI YA MILIONI 5
![](http://1.bp.blogspot.com/-NeGjRZbX06M/VUyMmNZORzI/AAAAAAABN5I/T7_i7-KVcfc/s640/DSC03160.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--VK3AGbnUOk/VUyER2frUfI/AAAAAAAHWQk/DAcPTG1Htsg/s72-c/jerry-muro-massawe.png)
JERRY MURO APIGWA FAINI MILIONI 5
![](http://4.bp.blogspot.com/--VK3AGbnUOk/VUyER2frUfI/AAAAAAAHWQk/DAcPTG1Htsg/s400/jerry-muro-massawe.png)
Akitoa utetezi wake mbele ya Kamati ya Nidhamu, Jerry Muro alikiri na kujutia kufanya kosa hilo na kudai ilitokana na ugeni wake katika uongozi wa michezo, kwa kuzingatia hilo kamati ilimuepusha na adhabu...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jun
Watakaochakachua mbolea kutozwa faini sh. mil. 500
NA SELINA WILSON,DODOMA
SERIKALI inakusudia kuongeza viwango vya adhabu ya faini kwa watakaochakachua mbolea kwa kuwatoza faini ya kati ya sh. milioni 100 na sh. milioni 500.
Pamoja na faini hiyo, mbolea itakayobainika kuchakuliwa na kuwa chini ya kiwango itateketezwa baada ya wakaguzi kuthibitisha kwamba imechakachuliwa.
Hayo yamo katika muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mbolea sura namba 378 uliowasilishwa bungeni Jumatano wiki hii na kusomwa kwa mara ya kwanza.
Kwa mujibu wa muswada huo,...
10 years ago
Bongo518 Oct
Rais wa shirikisho la tennis Urusi apigwa faini kwa kuwaita Serena & Venus ‘The Williams brothers’
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Faini ya Sh10,000 ya ngono ni dhihaka