Darron Gibson apigwa faini
Mchezaji wa Everton ambaye ni raia wa Jamhuri ya Ireland nyota wa kabumbu Darron Gibson, amepigwa faini kwa kusababisha ajali .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Whu7RSvDwY3437XSK8V6HaCXmO11F9-OSnjq-mN**QYT9*VXkNDiMGWnOsRHeXdp15PZq6k-ICeVe8mOpRgWi-ZI3Au-pfl*/TAMBWE.jpg?width=650)
Tambwe apigwa faini Sh 500,000
Mshambuliaji wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe. Omary Mdose na Martha Mboma
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe, amepigwa faini ya Sh laki tano kwa kosa la kushangilia bao huku akionyesha kidole katika mchezo wao dhidi ya Mbeya City lakini klabu yake imepigwa faini ya Sh milioni moja baada ya makocha wake kuingia uwanjani na kuwazonga waamuzi katika mechi hiyo pamoja na kuwepo kwa vitendo vilivyoashiria...
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Apigwa faini kwa kumdhalilisha refa
Afisa asimesimamishwa kazi kwa mda wa miezi minne baada ya kumdhalilisha refa wa kike nchini Uingereza.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--VK3AGbnUOk/VUyER2frUfI/AAAAAAAHWQk/DAcPTG1Htsg/s72-c/jerry-muro-massawe.png)
JERRY MURO APIGWA FAINI MILIONI 5
![](http://4.bp.blogspot.com/--VK3AGbnUOk/VUyER2frUfI/AAAAAAAHWQk/DAcPTG1Htsg/s400/jerry-muro-massawe.png)
Akitoa utetezi wake mbele ya Kamati ya Nidhamu, Jerry Muro alikiri na kujutia kufanya kosa hilo na kudai ilitokana na ugeni wake katika uongozi wa michezo, kwa kuzingatia hilo kamati ilimuepusha na adhabu...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-NeGjRZbX06M/VUyMmNZORzI/AAAAAAABN5I/T7_i7-KVcfc/s72-c/DSC03160.jpg)
JERRY MURO APIGWA FAINI YA MILIONI 5
![](http://1.bp.blogspot.com/-NeGjRZbX06M/VUyMmNZORzI/AAAAAAABN5I/T7_i7-KVcfc/s640/DSC03160.jpg)
10 years ago
Bongo518 Oct
Rais wa shirikisho la tennis Urusi apigwa faini kwa kuwaita Serena & Venus ‘The Williams brothers’
Rais wa shirikisho la mchezo wa tennis nchini Urusi, Shamil Tarpischev amepigwa faini ya $25,000 kwa kuwaita Serena na Venus Williams “the Williams brothers” kwenye mahojiano ya TV. Tarpischev pia alipigwa marufuku ya mwaka mzima kutojihusisha na ziara ya wanawake hao. Mkurugenzi Mkuu wa chama cha tennis cha wanawake, Stacy Allaster alisema maneno hayo yanadhalilisha […]
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aNZ9EZ3f4*wxTA1NTemKTFYGsqoDyIFW*ypMtneYjO-a9PJjeUzksoMFNg4A6UJyKDEbD9qfyyaLRSAmBRTEhxjhqrw7VI-h/gerardbutlermelgibsonbromancecontinues04.jpg?width=650)
MEL GIBSON AANDAMWA KUTOKA NA KIBINTI
Muongozaji maarufu wa filamu Marekani,Mel Gibson. Dallas, Marekani
MUONGOZAJI maarufu wa filamu Marekani,Mel Gibson ambaye aliwahi kutamba na filamu kama Passion of the Christ na Apocalypto, hivi karibuni ameandamwa na vyombo vya habari kwa kashfa ya kujihusisha kimapenzi na msichana wa miaka 24 ambaye ni sawa na mjukuu kwake. Rosalind Ross. Mel (59) anatoka na msichana huyo aliyetajwa kwa jina la Rosalind Ross… ...
9 years ago
BBCSwahili15 Oct
FA yamtoza faini Mourinho
Chama cha soka cha England FA, kimempa adhabu Meneja wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2aUaVnD6JyBapjkCSArL5LDa-83rfpXN9jqW*xmlTvcSgLsVseoNgSt9BMidHPswXSO45vj*NsMPTh1H-1jaBgl/T.jpg)
MFANYABIASHARA APIGWA...
Na Waandishi Wetu/Uwazi
MFANYABIASHARA wa Kisesa wilayani Magu, Mwanza, Nestory Andrew ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi usiku wa Februari 16, mwaka huu huku mke wake akishuhudia. Mke wa mfanyabiashara huyo (kulia) akiwa na simanzi kubwa. Imedaiwa kuwa kabla ya majambazi hao hawajafanya mauaji hayo, waliuteka Mtaa wa Kisesa kwani jirani na duka la mfanyabiashara huyo kulikuwa na mafundi baiskeli ambao walizuiwa...
10 years ago
Habarileo24 Sep
RC: Faini za makosa barabarani ziongezwe
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe ametaka sheria za usalama barabarani, ziangaliwe upya kwa lengo la kuongeza adhabu na faini kwa wanaosababisha ajali.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania