MFANYABIASHARA APIGWA...
![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2aUaVnD6JyBapjkCSArL5LDa-83rfpXN9jqW*xmlTvcSgLsVseoNgSt9BMidHPswXSO45vj*NsMPTh1H-1jaBgl/T.jpg)
Na Waandishi Wetu/Uwazi MFANYABIASHARA wa Kisesa wilayani Magu, Mwanza, Nestory Andrew ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi usiku wa Februari 16, mwaka huu huku mke wake akishuhudia. Mke wa mfanyabiashara huyo (kulia) akiwa na simanzi kubwa. Imedaiwa kuwa kabla ya majambazi hao hawajafanya mauaji hayo, waliuteka Mtaa wa Kisesa kwani jirani na duka la mfanyabiashara huyo kulikuwa na mafundi baiskeli ambao walizuiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Jul
Mfanyabiashara apigwa risasi ugomvi wa fedha
MFANYABIASHARA wa madini ya tanzanite yaliyopo Mirerani wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Daud Madaha amepigwa risasi kifuani na yuko mahututi katika hospitali ya rufaa ya Selian Jijini Arusha.
10 years ago
Habarileo26 Aug
Mfanyabiashara ajiua
MFANYABIASHARA maarufu wa madini ya dhahabu amejiua kwa kujipiga risasi kichwani. Amefanya hivyo wakati akiwakimbia wananchi wenye hasira na wachimbaji wadogo kwenye machimbo ya Kalole Kata ya Bugarama wilaya ya Kahama, baada ya kumjeruhi mguuni kwa kumpiga risasi mchimbaji mdogo wa machimbo hayo.
9 years ago
Habarileo05 Dec
Mfanyabiashara achinjwa Maswa
MFANYABIASHARA mmoja, Robert Dwese (43), mkazi wa Biafra Maswa Mjini ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni na usoni na kufa papo hapo.
11 years ago
Habarileo10 Jun
Mfanyabiashara adaiwa kubaka
MFANYABIASHARA Edward Kohe (35) mkazi wa Kitunda-Kizuiani, Ilala mkoani Dar es Salaam amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Ilala kujibu mashitaka ya kubaka.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
Mfanyabiashara atahadharisha Polisi
JESHI la Polisi nchini limetakiwa kuacha kuvifananisha vikundi vya uhalifu na makundi ya kigaidi kama vile Al Sbabab, El Quaeda na Boko Haram, kwani kwa kufanya hivyo kunaweza kuvuruga uchumi...
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Mfanyabiashara auawa Moshi
KUNDI la watu wanaodhaniwa kuwa majambazi wakiwa na silaha, wamevamia duka la jumla la kuuza bia na bidhaa mbalimbali na kisha kumuua kwa kumpiga risasi mmiliki wa duka hilo, Respiki...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
Mfanyabiashara Dar ajinyonga
MFANYABIASHARA, Bakari Yohana (34), mkazi wa Manzese, Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia waya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura, alisema jana kuwa tukio...
11 years ago
Habarileo20 Mar
Mfanyabiashara adaiwa kutapeli
MFANYABIASHARA , Hassan Kombo (41) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo, kujibu mashitaka ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Karani Hatanao Kitogo alidai mbele ya Hakimu Christine Luguru, Machi 9 mwaka huu huko Zanzibar, Kombo alikabidhiwa mafuta ya chakula dumu 100 ayalete Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Mfanyabiashara afa ‘gesti’