Mfanyabiashara atahadharisha Polisi
JESHI la Polisi nchini limetakiwa kuacha kuvifananisha vikundi vya uhalifu na makundi ya kigaidi kama vile Al Sbabab, El Quaeda na Boko Haram, kwani kwa kufanya hivyo kunaweza kuvuruga uchumi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo27 Mar
Mfanyabiashara atekwa, Polisi wamuokoa
POLISI mkoani Singida inashikilia watu watatu, akiwemo mganga wa tiba asilia kutoka Tanga, kwa tuhuma za kumteka nyara mfanyabiashara mkazi wa Manyoni.
11 years ago
Habarileo15 Mar
Mfanyabiashara aijengea Polisi jengo la kisasa
MFANYABIASHARA maarufu wa jijini Arusha, Philemon Mollel anayemiliki kampuni ya kusaga na kukoboa nafaka ya Monaban ya Arusha, amejitolea kujenga jengo maalumu la polisi kwa ajili ya askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani hapa.
10 years ago
Habarileo28 Oct
Polisi wachunguza kifo cha mfanyabiashara Arusha
KAMANDA wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas amesema mfanyabiashara wa nyumba za muda za wageni wa kitalii Bush Camp, Timoth Mroki (36) alijiua kwa kujipiga risasi kifuani kwa kutumia bastola yake aina ya KEL –TEC, yenye namba za usajili HCB21.
10 years ago
MichuziPOLISI MKOANI DODOMA WAFAFANUA KUHUSU MABAURUNGUTU YA NOTI YALIYOKUTWA KWA MFANYABIASHARA
Napenda kutoa taarifa fupi kuhusu tukio lililotokea tarehe 11/07/2015 majira ya saa 10:00 hrs huko katika Hoteli ya St. Gasper hapa mjini Dodoma, kuwa wananchi walitoa taarifa majira ya saa nne asubuhi kwamba kuna mtu mmoja mwenye asili ya Kiasia amekamatwa na wananchi akiwa na fedha nyingi na kuna vurugu kubwa. Baada ya kupata taarifa hizo Jeshi la Polisi Mkoani hapa lilifika eneo la tukio ili kuona kama taarifa hizo ni za kweli. Askari...
11 years ago
Mwananchi03 Mar
Askofu wa Geita atahadharisha wananchi
9 years ago
BBCSwahili03 Jan
Netanyahu atahadharisha Waisraeli Waarabu
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Jaji atahadharisha waendesha mashitaka
WAENDESHA mashitaka wa mahakama, mawakili na wapelelezi wa makosa ya jinai, wameombwa kutumia taaluma zao kuwasidia wanawake na watoto. Ushauri huo ulitolewa na Jaji Peragia Khadai wa Mahakama Kuu ya...
11 years ago
BBCSwahili21 May
Kijana mwenye HIV atahadharisha wenzake
9 years ago
BBCSwahili30 Oct
Rais wa CAR atahadharisha kuhusu uchaguzi