Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanyabiashara atekwa, Polisi wamuokoa

POLISI mkoani Singida inashikilia watu watatu, akiwemo mganga wa tiba asilia kutoka Tanga, kwa tuhuma za kumteka nyara mfanyabiashara mkazi wa Manyoni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA MASHABIKI WENYE HASIRA

Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'. Stuttgart, Ujerumani
USIKU wa Jumamosi ya Agosti 30 mwaka huu majira ya saa 10 alfajiri, Mwanamuziki Nyota wa Bongo Flava, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na polisi mjini Stuttgart, Ujerumani, baada ya mashabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri shooo ya staa huyo. Muonekano… ...

 

10 years ago

Michuzi

POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA

Stuttgart,Ujerumani,Usiku wa Jumamosi ya Tarehe  30.Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiriMwanamuziki nyota wa Bongo Flaver  Nasib Abdul aka Diamond Platnumz alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart,Ujerumani,baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show.
Washabiki hao waliokuwa wamelipa ticket euro 25 kwa kiingilio waliahidiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku,lakini walijikuta wakisubiri hadi majira ya saa 10 usiku au alfajiri ndipo mwanamuziki...

 

10 years ago

GPL

POLISI ATEKWA

Haruni Sanchawa na Shani Ramadhani Askari Polisi wa Kikosi  cha Tazara jijini Dar es Salaam  kinachosimamia ulinzi na usalama wa Reli ya Tanzania na  Zambia  aliyetajwa kwa jina la PC Gineneko, ametekwa kisha kuporwa bunduki aina ya SMG ikiwa na risasi 30 , Mei 27, mwaka  huu. PC Gineneko akiwa na majeraha baada ya kuvamiwa na majambazi. Watekaji hao mara baada ya kumpora bunduki askari huyo eneo la Yombo, Ilala...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfanyabiashara atahadharisha Polisi

JESHI la Polisi nchini limetakiwa kuacha kuvifananisha vikundi vya uhalifu na makundi ya kigaidi kama vile Al Sbabab, El Quaeda na Boko Haram, kwani kwa kufanya hivyo kunaweza kuvuruga uchumi...

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara aijengea Polisi jengo la kisasa

MFANYABIASHARA maarufu wa jijini Arusha, Philemon Mollel anayemiliki kampuni ya kusaga na kukoboa nafaka ya Monaban ya Arusha, amejitolea kujenga jengo maalumu la polisi kwa ajili ya askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wachunguza kifo cha mfanyabiashara Arusha

KAMANDA wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas amesema mfanyabiashara wa nyumba za muda za wageni wa kitalii Bush Camp, Timoth Mroki (36) alijiua kwa kujipiga risasi kifuani kwa kutumia bastola yake aina ya KEL –TEC, yenye namba za usajili HCB21.

 

10 years ago

Michuzi

POLISI MKOANI DODOMA WAFAFANUA KUHUSU MABAURUNGUTU YA NOTI YALIYOKUTWA KWA MFANYABIASHARA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa 

Dodoma, SACP David Misime


Napenda kutoa taarifa fupi kuhusu tukio lililotokea tarehe 11/07/2015 majira ya saa 10:00 hrs huko katika Hoteli ya St. Gasper hapa mjini Dodoma, kuwa wananchi walitoa taarifa majira ya saa nne asubuhi kwamba kuna mtu mmoja mwenye asili ya Kiasia amekamatwa na wananchi akiwa na fedha nyingi na kuna vurugu kubwa. Baada ya kupata taarifa hizo Jeshi la Polisi Mkoani hapa lilifika eneo la tukio ili kuona kama taarifa hizo ni za kweli. Askari...

 

10 years ago

GPL

MWEZI MTUKUFU WAMUOKOA MTUHUMIWA WA WIZI

Chande Abdallah
Bahati ilioje! Kibaka mmoja aliyejulikana kama Baba Hawa, mkazi wa Sinza Kamanyola jijini Dar juzikati nusura auawe kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira baada ya kunaswa akiiba kinyonyeo cha kompyuta (flash) kwenye duka moja la vifaa vya ofisini (stationery) lililopo Bamaga, Mwenge. Kwa mujibu wa wafanyakazi wa duka hilo, mtu huyo aliingia kwa mbwembwe kama mteja wa kawaida akiomba kutolewa fotokopi ya...

 

10 years ago

GPL

MWANACCM ATEKWA, AUAWA

Stori: Denis Mtima na Haruni Sanchawa
UKATILI! Watu wasiojulikana wameyakatisha maisha ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM),  Tawi la Mkwajuni, Kigamboni jijini Dar,  Ibrahim Hamis (30).Tukio hilo la kusikitisha na lililowaacha midomo wazi wakazi wa eneo hilo, lilijiri usiku wa saa mbili hivi karibuni. Waombolezaji wakiubeba mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani