Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA

Stuttgart,Ujerumani,Usiku wa Jumamosi ya Tarehe  30.Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiriMwanamuziki nyota wa Bongo Flaver  Nasib Abdul aka Diamond Platnumz alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart,Ujerumani,baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show.
Washabiki hao waliokuwa wamelipa ticket euro 25 kwa kiingilio waliahidiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku,lakini walijikuta wakisubiri hadi majira ya saa 10 usiku au alfajiri ndipo mwanamuziki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA MASHABIKI WENYE HASIRA

Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'. Stuttgart, Ujerumani
USIKU wa Jumamosi ya Agosti 30 mwaka huu majira ya saa 10 alfajiri, Mwanamuziki Nyota wa Bongo Flava, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na polisi mjini Stuttgart, Ujerumani, baada ya mashabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri shooo ya staa huyo. Muonekano… ...

 

10 years ago

GPL

POLISI AUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA MOROGORO

...Askari alieuwawa na wananchi wenye hasira kali akiwa amelala chini ....mwananchi akishuhudia polisi alieuwawa na wananchi ASKARI mmoja wa jeshi la polisi ambao hutumia pikipiki kufanya doria, aliyejulikana kwa jina la Ramadhani,  ameuawa mchana huu na wananchi wenye hasira mjini Morogoro kwa kutuhumiwa kusababisha ajali ya dereva wa bodaboda ambaye alipamia lori. Tukio hilo linawahusisha askari wawili wa kikosi cha...

 

11 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND AKA FFU-UGHAIBUNI JINO KWA JINO NA WASHABIKI WA TUBINGEN, UJERUMANI MWISHO MWA WIKI HII !

Tubingen,Ujerumani,Washabiki na wadau wa muziki nchini Ujerumani wanatarajia kujimwaga katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen 2014, Ujerumani, yanayoanza wiki hii 17 Julai, 2014 hadi 20 Julai, 2014ambako bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band inatarajiwa kutumbuiza Usiku wa jumamosi katika maonyesho hayo.Bendi hiyo  inayoongozwa na kamanda Ras Makunja, kama ujuavyo ni yenye mazoea ya kuwatia kiwewe washabiki kila wanapotumbuiza.

 

10 years ago

Michuzi

MTU MMOJA AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI MKOANI DODOMA KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
 MTU mmoja anayedaiwa kuwa ni Jambazi ameuawa na wananchi baada ya kumpora mwananchi mmoja kiasi cha Sh. 2, 100,000= wa kijiji cha Igoji One Kata ya Mima katika Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP ameeleza kuwa tukio hilo la kumvamia mwananchi huyo huko nyumbani kwake Kijiji cha Igoji one aliyejulikana kwa jina la YARED S/O MAPATANO MSALILA limetokea mnamo...

 

11 years ago

Michuzi

FFU wa Ngoma Africa Band wawatia wazimu washabiki Tubingen,Ujerumani

Tubingen,Ujerumani,Ilikuwa usiku  jumamosi  19.Julai 2014 bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni " imefanikiwa tena kuwatia wazimu malefu ya washabiki katika maonyesho makubwa ya International African Festival 2014 mjini Tubingen,Ujerumani. 
Bendi hiyo iliyobatizwa majina mengi ya utani na washabiki wake  imejikuta inaongeza idadi ya maelfu ya washabiki katika maonyesho yake.
Katika hali isiyo ya kawaida usiku wa jumamosi 19 Julai 2014 Ngoma Africa...

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara atekwa, Polisi wamuokoa

POLISI mkoani Singida inashikilia watu watatu, akiwemo mganga wa tiba asilia kutoka Tanga, kwa tuhuma za kumteka nyara mfanyabiashara mkazi wa Manyoni.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA POLEPOLE :Hasira hasara, kupiga kura kwa hasira ni ujuha na si hekima, tulitazame taifa

Bado nimepigwa na butwaa kwa namna ambavyo baadhi ya Watanzania wenzangu wanakosa ustahimilivu katika kipindi tunapoelekea Uchaguzi Mkuu. Nimegundua kwamba unapotoa hoja ambayo wengine hawaiungi mkono basi kumekuwa na ugumu katika kustahimiliana.

 

9 years ago

Mtanzania

Watu 829 wauawa na wananchi wenye hasira

1111ASIFIWE GEORGE NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

WATU 829 wameuawa katika kipindi cha Januari hadi Oktoba mwaka huu kutokana na wananchi kujichukulia sheria mkononi.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, alisema matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi yameongezeka, ikilinganishwa na mwaka jana katika kipindi kama hicho ambapo watu 785 waliuawa kwa matukio kama hayo.

Alisema takwimu zinaonyesha kuwa tabia hiyo inaendelea kujengeka na kuonekana kama ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani