MTU MMOJA AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI MKOANI DODOMA KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
MTU mmoja anayedaiwa kuwa ni Jambazi ameuawa na wananchi baada ya kumpora mwananchi mmoja kiasi cha Sh. 2, 100,000= wa kijiji cha Igoji One Kata ya Mima katika Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP ameeleza kuwa tukio hilo la kumvamia mwananchi huyo huko nyumbani kwake Kijiji cha Igoji one aliyejulikana kwa jina la YARED S/O MAPATANO MSALILA limetokea mnamo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMTU MMOJA AUAWA NA WANANCHI BAADA YA KUMUUA MKEWE WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea mnamo tarehe 20/09/2014 majira ya saa 23:30hrs katika Kijiji cha Mzogole Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la MWAJUMA D/O CHOMOLA mwenye umri wa miaka 48, Mgogo mkazi wa Mzogole aliuawa kwa kupigwa...
10 years ago
MichuziASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA LEO MKOANI DODOMA, MTUHUMIWA WA MAUAJI AUWAWA NA WANANCHI
9 years ago
StarTV26 Nov
Mtu mmoja afariki kwa kukatwa kwa kitu chenye ncha kali
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mwikwabe Mwita mkazi wa Kibasa wilaya ya tarime mkoani Mara amefariki dunia baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi baada ya kuvamia duka ambalo marehemu alikuwa akifanya kazi ya ulinzi nyakati za usiku
Akiongea kwa masikitika makubwa ya kuuawa kwa mlinzi wa duka lake na kuporwa mali zote zilizo kuwemo ndani ya duka hilo mmiliki wa duka, Chacha marwa analiomba jeshi la polisi kanda maalum ya Tarime na...
9 years ago
MichuziMTU MMOJA ALA KICHAPO KWA TUHUMA ZA KUJIDAI AFISA WA TRA
Mtu huyo alijitambulisha kuwa ni Afisa wa TRA,lakini akatuhumiwa kuwa ni tapeli aliyetaka kufanya tukio la kiuhalifu kwenye moja ya Maduka yaonekayo mbele ya gari hilo,tukio hilo limetokea hivi punde maeneno ya Tabata Segerea. Mtuhumiwa huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika ...
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Watu 829 wauawa na wananchi wenye hasira
ASIFIWE GEORGE NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
WATU 829 wameuawa katika kipindi cha Januari hadi Oktoba mwaka huu kutokana na wananchi kujichukulia sheria mkononi.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, alisema matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi yameongezeka, ikilinganishwa na mwaka jana katika kipindi kama hicho ambapo watu 785 waliuawa kwa matukio kama hayo.
Alisema takwimu zinaonyesha kuwa tabia hiyo inaendelea kujengeka na kuonekana kama ni...
10 years ago
GPLPOLISI AUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA MOROGORO
10 years ago
Dewji Blog27 Sep
Wananchi wenye hasira wateketeza kaya nne Chato
Nyumba ya mfanyabiashara Shabani Ramadhani ikiteketea kwa moto.
Na Alphonce Kabilondo (TRJA)
WANANCHI wenye hasira kali katika kijiji cha Beda Kinsabe kata ya Iparamasa Wilayani Chato Mkoani Geita wamebomoa nyumba za kaya nne na kuzichoma moto zikiwemo za viongozi wa serikali ya kijiji hicho na kuteketeza mali mbalmbali zikiwemo mashine za kusaga mawe ya dhahabu baada ya walinzi wa kampuni ya JOMA SECURITY LTD tawi la Katoro ...
11 years ago
Michuzi15 May
Mtu mmoja afa kwa kunyongwa na watu wasiojulikana mkoani Pwani
MLINZI Bakari Mape (70) mkazi wa Mlandizi wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani ameuwawa kwa kunyongwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.
Watu hao ambao idadi yao haikuweza kufahamika mara moja walimwua mlinzi huyo kwa kumvunja shingo kisha kuiba kwenye duka ambalo mlinzi huyo alikuwa akililinda.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani humo Kamishna Mwandamizi Msaidizi (SACP) Ulrich Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu...
10 years ago
Vijimambo25 Feb
HABARI KWA KINA KUHUSIANA NA VURUGU YA WANANCHI BAADA YA POLISI KUUA MTU MMOJA
Wananchi wakiangalia moto uliowashwa na watu wasiojulikana wakati wa vurugu baina ya polisi na wananchi katika mji mdogo wa Ilula wilayani Kilolo mkoani Iringa jana. Picha ya Mtandao HUKO ILULA MKOANI IRINGA
Kilolo. Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.Habari kutoka eneo la tukio zinasema kuwa wananchi waliokuwa na hasira walichoma moto magari yaliyokuwa yameegeshwa...