POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA MASHABIKI WENYE HASIRA
![](http://api.ning.com:80/files/vD-hYj2mu0RcZVmbCZ*2UAoTWJDyUfvJkFVXzlx9y6hbb3xNsLZWfGAYkpAGYjU9o6u*Dsz69JPXrQ5b6E80qwLnxZLQPVn7/Diamond1.jpg?width=650)
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'. Stuttgart, Ujerumani USIKU wa Jumamosi ya Agosti 30 mwaka huu majira ya saa 10 alfajiri, Mwanamuziki Nyota wa Bongo Flava, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na polisi mjini Stuttgart, Ujerumani, baada ya mashabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri shooo ya staa huyo. Muonekano… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-p1tph8hfuNg/VAQJHykGlXI/AAAAAAAGZII/_labJDA7oSs/s72-c/Nasib%2BAbdul%2Baka%2BDiamond%2BPlatnumz.jpg)
POLISI UJERUMANI WAMUOKOA DIAMOND KUTOKA KWA WASHABIKI WENYE HASIRA
![](http://3.bp.blogspot.com/-p1tph8hfuNg/VAQJHykGlXI/AAAAAAAGZII/_labJDA7oSs/s1600/Nasib%2BAbdul%2Baka%2BDiamond%2BPlatnumz.jpg)
Washabiki hao waliokuwa wamelipa ticket euro 25 kwa kiingilio waliahidiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku,lakini walijikuta wakisubiri hadi majira ya saa 10 usiku au alfajiri ndipo mwanamuziki...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nBD8FQWarq-Apc*2YJScwagIHbfxu0rsvqzZK0ifbIDrcaFImfe3hYbybb6grxiZrtLTeIKlwTzlegBuZxyPgvncZ64WTCBS/kkk.gif?width=650)
POLISI AUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA MOROGORO
9 years ago
Bongo518 Dec
Diamond awakera baadhi ya mashabiki kwa video hii wenye ujumbe wa utata!
![12346103_935990829789896_1219420600_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12346103_935990829789896_1219420600_n-300x194.jpg)
Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Uganda unajua nini kitatokea sio?
Yes, kitakachotokea ni kile mtu na mpenzi wake wakikutana kitandani hufanya – they make love!
Lakini Diamond amewakera baadhi ya mashabiki wake baada ya kupost video hiyo juu na kuandika: Jus love my Uganda’s Room….Can’t wait for the Dirty game with mama tee here lol!
Tembelea kwenye ukurasa wake wa Instagram ujisomee...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ooAnbUqSltc/VCw_W6ZPyPI/AAAAAAAGnIM/MR2M1b9g8yU/s72-c/ddm.jpg)
MTU MMOJA AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI MKOANI DODOMA KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ooAnbUqSltc/VCw_W6ZPyPI/AAAAAAAGnIM/MR2M1b9g8yU/s1600/ddm.jpg)
MTU mmoja anayedaiwa kuwa ni Jambazi ameuawa na wananchi baada ya kumpora mwananchi mmoja kiasi cha Sh. 2, 100,000= wa kijiji cha Igoji One Kata ya Mima katika Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP ameeleza kuwa tukio hilo la kumvamia mwananchi huyo huko nyumbani kwake Kijiji cha Igoji one aliyejulikana kwa jina la YARED S/O MAPATANO MSALILA limetokea mnamo...
11 years ago
Habarileo27 Mar
Mfanyabiashara atekwa, Polisi wamuokoa
POLISI mkoani Singida inashikilia watu watatu, akiwemo mganga wa tiba asilia kutoka Tanga, kwa tuhuma za kumteka nyara mfanyabiashara mkazi wa Manyoni.
9 years ago
Mwananchi04 Oct
UCHAMBUZI WA POLEPOLE :Hasira hasara, kupiga kura kwa hasira ni ujuha na si hekima, tulitazame taifa
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Watu 829 wauawa na wananchi wenye hasira
ASIFIWE GEORGE NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM
WATU 829 wameuawa katika kipindi cha Januari hadi Oktoba mwaka huu kutokana na wananchi kujichukulia sheria mkononi.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, alisema matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi yameongezeka, ikilinganishwa na mwaka jana katika kipindi kama hicho ambapo watu 785 waliuawa kwa matukio kama hayo.
Alisema takwimu zinaonyesha kuwa tabia hiyo inaendelea kujengeka na kuonekana kama ni...