Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfanyabiashara aijengea Polisi jengo la kisasa

MFANYABIASHARA maarufu wa jijini Arusha, Philemon Mollel anayemiliki kampuni ya kusaga na kukoboa nafaka ya Monaban ya Arusha, amejitolea kujenga jengo maalumu la polisi kwa ajili ya askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LA KABIDHI JENGO LA KISASA LA MICHEZO YA TAEKWONDO JIJINI DAR

 Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini DIGP Abdulrahman Kaniki, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la kisasa litakalo tumika kwa ajili ya shughuli za michezo ya Taekwondo, lililofadhiliwa na serikali ya Korea kupitia kwa balozi wake hapa nchini Mh. II Chung, jana katika Chuo cha Taaluma ya Polisi DPA jijini Dar es salaam.Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini DIGP Abdulrahman Kaniki, akimkabidhi cheti Bw. Shinyoung Pyeon, wakati wa sherehe za kukabidhi jengo la kisasa la michezo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TPHA KUJA NA JENGO LA KISASA

Na Andrew Chale, Bagamoyo
CHAMA Cha Afya ya Jamii Tanzania (Tanzania Public Health Association-TPHA), kipo kwenye mkakati kabambe wa kuendeleza na kuinua mapato ya chama hicho ikiwemo kujenga jengo la kitega uchumi la kisasa litakalo kuwa na zaidi ya gorofa 20, katika makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam.
Hayo yalibainishwa mjini hapa jana kwenye kongamano la 31 la Kisayansi na Mkutano mkuu wa mwaka wa TPHA unaoendelea katika ukumbi wa Stella Maris, mjini Bagamoyo ambapo wataalamu...

 

10 years ago

Habarileo

Ustawi wa Jamii kuwa na jengo la kisasa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema kuwepo kwa Bodi ya Wathamini na Ukadiriaji kwa kiasi kikubwa itasaidia kuweka viwango sahihi vitakavyotumika kwa shughuli mbali mbali ikiwemo za biashara.

 

9 years ago

Habarileo

Jengo la kisasa stendi Msamvu kukamilika mwakani

AWAMU ya kwanza ya ujenzi wa jengo la ghorofa tatu katika stendi ya Msamvu ya mabasi ya mikoani iliyopo Manispaa ya Morogoro, unatarajiwa kukamilika Mei mwakani, imeelezwa.

 

10 years ago

Michuzi

TPHA kuja na jengo la kisasa la kuinua mapato yake

Na Andrew Chale, Bagamoyo
CHAMA Cha Afya ya Jamii Tanzania (Tanzania Public Health Association-TPHA), kipo kwenye mkakati kabambe wa kuendeleza na kuinua mapato ya chama hicho ikiwemo kujenga jengo la kitega uchumi la kisasa litakalo kuwa na zaidi ya gorofa 20, katika makao makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam.
Hayo yalibainishwa mjini hapa jana kwenye kongamano la 31 la Kisayansi na Mkutano mkuu wa mwaka wa TPHA unaoendelea katika ukumbi wa Stella Maris, mjini Bagamoyo ambapo...

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KISASA JIJINI DAR

 Jengo la kisasa la mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umama-PSPF. Rais Jakaya Kikwete amezindua jengo la kisasa la mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umama-PSPF- na kuyataka mashirika mengine nchni kujenga majengo ya kisasa ili kuleta imani na matumaini kwa wawekezaji kuwa Tanzania ina mazingira mazuri ya uwekezaji. Akizungumza katika uzinduzi huo, rais Kikwete licha ya kupongeza bodi ya wadhamini kwa kubuni wazo la kujenga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua rasmi Jengo la kisasa la biashara Kilimanjaro

JK-pazia

Mhe. Rais Dr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi Jengo la kisasa la Kitega Uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Moshi, mkoani Kilimanjaro jana. Kushoto ni Waziri wa Kazi na Ajira, Bi. Gaudencia kabaka. (Na Mpigapicha Wetu).

Mhe. Rais Dr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Jengo la kisasa la Kitega Uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii mjini Moshi Kilimanjaro jana. Wengine ni Waziri wa Kazi na Ajira, Bi. Gaudensia Kabaka (kushoto kwa Rais), Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhan Dau (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro, Bw. Leonidas Gama.

Mhe. Rais Dr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Jengo la kisasa la Kitega Uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii mjini Moshi Kilimanjaro jana. Wengine ni Waziri wa Kazi na Ajira, Bi. Gaudensia Kabaka...

 

10 years ago

GPL

VODACOM YAFUNGUA DUKA JIPYA LA KISASA JENGO LA QUALITY CENTRE UCHUMI‏

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa wa kwanza toka kulia pamoja na Meneja wa duka hilo Irene Njovu na Ofisa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Hassan Saleh wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa duka jipya na la kisasa la Vodacom Tanzania,lililopo Quality Centre katika   barabara ya Nyerere ambalo ni moja ya kituo kikubwa cha biashara jijini Dar es Salaam.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani