RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KISASA JIJINI DAR
 Jengo la kisasa la mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umama-PSPF. Rais Jakaya Kikwete amezindua jengo la kisasa la mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umama-PSPF- na kuyataka mashirika mengine nchni kujenga majengo ya kisasa ili kuleta imani na matumaini kwa wawekezaji kuwa Tanzania ina mazingira mazuri ya uwekezaji. Akizungumza katika uzinduzi huo, rais Kikwete licha ya kupongeza bodi ya wadhamini kwa kubuni wazo la kujenga...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KUHIFADHI MADAWA LA HOSPITALI CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog12 Feb
Rais Kikwete azindua rasmi Jengo la kisasa la biashara Kilimanjaro
Mhe. Rais Dr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua pazia kuzindua rasmi Jengo la kisasa la Kitega Uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Moshi, mkoani Kilimanjaro jana. Kushoto ni Waziri wa Kazi na Ajira, Bi. Gaudencia kabaka. (Na Mpigapicha Wetu).
Mhe. Rais Dr. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Jengo la kisasa la Kitega Uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii mjini Moshi Kilimanjaro jana. Wengine ni Waziri wa Kazi na Ajira, Bi. Gaudensia Kabaka...
9 years ago
Dewji Blog04 Oct
Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar Ijumaa Oktoba 3, 2015
9 years ago
MichuziSIMU TV: Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam, na habari zingine
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam aonya wasimamizi wa uchaguzi mkoani humo kuzingatia na kufuata sheria katika zoezi la kupiga kura kuepusha vurugu.https://youtu.be/E4PqPs6h9uY
Mgombea uraisi wa Zanzibar Dr.Shein aahidi kupandisha bei ya zao la karafuu endapo atachaguliwa ili kuinua kipato cha wakulima. https://youtu.be/hlUp7Y0XU1c
Mgombea mwenza wa uraisi aahidi kutatua na kuondoa migogoro ya ardhi mkoani Simiyu kufuatia kukithiri kwa migogoro mkoani humo. https://youtu.be/AA3y7T9r0kk
Raisi...
9 years ago
MichuziRais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam Ijumaa Oktoba 3, 2015
9 years ago
GPLRAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KUHIFADHIA MADAWA LA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM IJUMAA OKTOBA 3, 2015
10 years ago
Dewji Blog12 Jan
Rais Kikwete azindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto, Dar es Salaam
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said Meck Sadick,
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana...
10 years ago
Vijimambo10 Jan
RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GOGO LA MBOTO, DAR ES SALAAM, LEO
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana naBalozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba zakisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leoJumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujengataifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue,Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar essalaam, Mhe Said Meck Sadick,Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana naMnadhimu...
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA HOSPITALI KUBWA NA YA KISASA YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KISASA KIJIJINI MLOGANZILA