Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JESHI LA POLISI LA KABIDHI JENGO LA KISASA LA MICHEZO YA TAEKWONDO JIJINI DAR

 Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini DIGP Abdulrahman Kaniki, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo la kisasa litakalo tumika kwa ajili ya shughuli za michezo ya Taekwondo, lililofadhiliwa na serikali ya Korea kupitia kwa balozi wake hapa nchini Mh. II Chung, jana katika Chuo cha Taaluma ya Polisi DPA jijini Dar es salaam.Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini DIGP Abdulrahman Kaniki, akimkabidhi cheti Bw. Shinyoung Pyeon, wakati wa sherehe za kukabidhi jengo la kisasa la michezo ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KISASA JIJINI DAR

 Jengo la kisasa la mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umama-PSPF. Rais Jakaya Kikwete amezindua jengo la kisasa la mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umama-PSPF- na kuyataka mashirika mengine nchni kujenga majengo ya kisasa ili kuleta imani na matumaini kwa wawekezaji kuwa Tanzania ina mazingira mazuri ya uwekezaji. Akizungumza katika uzinduzi huo, rais Kikwete licha ya kupongeza bodi ya wadhamini kwa kubuni wazo la kujenga...

 

10 years ago

Vijimambo

NMB BANK YALIPATIA JESHI LA POLISI VIFAA VYA MICHEZO, NI KWA AJILI YA TIMU ZA POLISI DAR NA MORO

Mkuu wa Kitengo cha Wateja binafsi wa benki ya NMB, Bw.Abdulmajid Nsekela( katikati) akimkabidhi vifaa vya Michezo Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mary Nzuki kwa ajili ya Timu za Polisi ambazo ni Kombaini ya Polisi itakayoshiriki Michezo ya majeshi kwa nchi za kusini mwa Afrika nchini Swaziland pamoja na timu za mpira wa miguu za Polisi Dar es Salaam na Polisi Morogoro.Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Michezo Mrakibu mwanadamizi wa Polisi (SSP) Jonas Mahanga(Picha na Frank Geofray-Jeshi la...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata silaha moja aina ya SMG yenye namba BA172288  na risasi kumi na tatu wakati wa  mapambano makali ya ana kwa ana kati ya majambazi na Jeshi la Polisi.  Aidha katika tukio hilo majambazi wawili waliuawa  kwa risasi wak ati wakijaribu kuwadhuru askari.  
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara aijengea Polisi jengo la kisasa

MFANYABIASHARA maarufu wa jijini Arusha, Philemon Mollel anayemiliki kampuni ya kusaga na kukoboa nafaka ya Monaban ya Arusha, amejitolea kujenga jengo maalumu la polisi kwa ajili ya askari wa kikosi cha usalama barabarani wilayani hapa.

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WATATU WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI JIJINI DAR ES SALAAM KWA TUHUMA ZA MAUAJI


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mmiliki wa shule ya Mtakatifu Zion iliyopo maeneo ya Ununio, Mbezi Beach wilaya ya kipolisi Kawe mkoa wa kipolisi wa Kinondoni aliyejulikana kwa jina la ANNA D/O MIZINGI, Miaka 48, Mfanyabiashara, Mkazi wa Boko. 

Mnamo tarehe 02/02/2015 majira ya saa za mchana mtoa taarifa alifika kituo cha Polisi na kueleza kwamba marehemu ANNA D/O MIZINGI aliondoka tangu tarehe 26/12/2014 majira ya saa 1:00hrs...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI CHIKAWE AWAAPISHA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA TUME YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA JIJINI DAR

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimuapisha Afisa wa Jeshi la Magereza, Elmas Linus Mgimwa kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Jeshi la Polisi na Magereza inayoshughulikia masuala ya Utumishi na Utendaji wa askari wa majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Waziri Chikawe ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima, na katikati ni Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AWAAPISHA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA TUME YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA JIJINI DAR LEO

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimuapisha Afisa wa Jeshi la Magereza, Elmas Linus Mgimwa kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Jeshi la Polisi na Magereza inayoshughulikia masuala ya Utumishi na Utendaji wa askari wa majeshi hayo, katika Ukumbi wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kulia kwa Waziri Chikawe ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima, na katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil. Waziri wa Mambo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani